Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
Arusha wapo karibu na TBL
Ila kujiunga lazima upelekwe na mwanachama mzoefu
 
Hasara,ukishindwa kumtoa kafara mamako unakufa mwenyewe.
Si kweli jifunze kusoma vitu na kufanya utafiti utajifunza mengi...Tafuta maandishi ya Manly P Hall(33° Mason) kaelezea sana kuhusu Free Masons

Novel ya Dan Brown The Lost Symbol imeelezea sana kuhusu Free Mason na hizo sacrifices...
 
Kwa miaka mingi nimekuwa nikisikia hii imani ya freemasson,na baadhi ya watu kuhusishwa nayo.

Kwa mwenye uelewa kidogo na imani hii naomba atufafanulie.

1.Freemason ni nini?
2.Wanapatikana wapi?
3.Jinsi ya kujiunga na imani hii
4.Je hapa tanzania imani hii ipo?
5.Freemason ni dini au?
na mengine yanayoweza kutusaidia kuitambua imani hii

1. Freemason Ni KIKUNDI TU KIZURI CHA KUHAMASISHA WATU KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI KUJILETEA UCHUMI BORA.
2. Wanapatikana POPOTE PALE AMBAPO KUNA JAMII INAYOPENDA MAENDELEO YA KIMANTIKI NA SIYO YA KIUCHAWI KAMA YETU.
3. Kujiunga KWAO YAKUPASA UWE NA AKILI, KUBWA NA ZILIZOTUKUKA AMBAZO NAAMINI WEWE HUNA NA HUTOKUJA KUWA NAZO.
4. Si Tu TANZANIA IPO BALI HATA MBINGUNI KWA MWENYEZI MUNGU WAPO NA WANAIGA SERA YA MUNGU YA BROTHERHOOD.
5. Freemason NI IMANI YA KUKUFANYA UJITUME KUFIKIA MALENGO YAKO LAKINI UPENDE KUSAIDIA WALE WENYE MAHITAJI.

Hayo Mengine Unayotaka Kuyatambua Kuhusu Imani Hii Ni KWAMBA NISIKUFICHE HAPA WATANZANIA WALE WAPENDA USHIRIKINA WOTE NA WALIOFANIKIWA KUPITIA USHIRIKINA ( MIZIZIOLOGY ) HUPENDA KUJIFICHA KWA KIVULI CHA FREEMASON ILI KUKWEPESHA LENGO NA USISAHAU KUWA 95% YA WATANZANIA NI MAPOPOMA WAKUBWA WALIOTUKUKA KUHUSIANA NA SUALA ZIMA LA FREEMASON NA MEDIA ZETU KWAKUWA NAZO 99.999% ZIMEZOEA UMBEA AMBAO UMERATIBIWA KWA KIASI KIKUBWA NA WATANZANIA WANAOPENDA KUSIKIA TAARIFA ZA KISHIRIKINA NA UMBEA HIVYO JAMII YETU KUBWA IMESHAATHIRIKA.

Naomba Niishie Hapa Mkuu ILA Hakikisha UFAFANUZI Huu Unawafikia WALE WASHIRIKINA Na WAPOTOSHAJI Wote Kuhusu FREEMASON.
 
asante mkuu kwa ufafanuzi
 
nenda mnazi mmoja panda gar la fery shuka kituo vha bunge rudi nyuma hatua hamsin upande ulioshukia utaona jengo jeupe lina bango limeandikwa freemanson hall ila aga kabisa nyumban ili wakikubadilikia ndungu zako wakuwai kabla hujachinjwa
 
1. Freemason Ni KIKUNDI TU KIZURI CHA KUHAMASISHA WATU KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI KUJILETEA UCHUMI BORA.
2. Wanapatikana POPOTE PALE AMBAPO KUNA JAMII INAYOPENDA MAENDELEO YA KIMANTIKI NA SIYO YA KIUCHAWI KAMA YETU.
3. Kujiunga KWAO YAKUPASA UWE NA AKILI, KUBWA NA ZILIZOTUKUKA AMBAZO NAAMINI WEWE HUNA NA HUTOKUJA KUWA NAZO.
4. Si Tu TANZANIA IPO BALI HATA MBINGUNI KWA MWENYEZI MUNGU WAPO NA WANAIGA SERA YA MUNGU YA BROTHERHOOD.
5. Freemason NI IMANI YA KUKUFANYA UJITUME KUFIKIA MALENGO YAKO LAKINI UPENDE KUSAIDIA WALE WENYE MAHITAJI.

Hayo Mengine Unayotaka Kuyatambua Kuhusu Imani Hii Ni KWAMBA NISIKUFICHE HAPA WATANZANIA WALE WAPENDA USHIRIKINA WOTE NA WALIOFANIKIWA KUPITIA USHIRIKINA ( MIZIZIOLOGY ) HUPENDA KUJIFICHA KWA KIVULI CHA FREEMASON ILI KUKWEPESHA LENGO NA USISAHAU KUWA 95% YA WATANZANIA NI MAPOPOMA WAKUBWA WALIOTUKUKA KUHUSIANA NA SUALA ZIMA LA FREEMASON NA MEDIA ZETU KWAKUWA NAZO 99.999% ZIMEZOEA UMBEA AMBAO UMERATIBIWA KWA KIASI KIKUBWA NA WATANZANIA WANAOPENDA KUSIKIA TAARIFA ZA KISHIRIKINA NA UMBEA HIVYO JAMII YETU KUBWA IMESHAATHIRIKA.

Naomba Niishie Hapa Mkuu ILA Hakikisha UFAFANUZI Huu Unawafikia WALE WASHIRIKINA Na WAPOTOSHAJI Wote Kuhusu FREEMASON.
Freemason ni brotherhood ambayo inaendesha shughuli zake kisiri. Hawa members lazima wawe wana amini in a superior God, Allah, Buddha etc. hawa jamaa wanasaidiana bila wengine kujua connection.
 
ni kweli imani hii inahusiana na utajiri?
 
Freemason ni brotherhood ambayo inaendesha shughuli zake kisiri. Hawa members lazima wawe wana amini in a superior God, Allah, Buddha etc. hawa jamaa wanasaidiana bila wengine kujua connection.
kuna uhusiano wowote wa freemason na mambo ya kafara?
 
Wapo, wanajengo lao Tz -Dar es salaam mitaa ya posta. unaweza kwenda pale kuulizia utaratibu wa ibada.
freemason ni mwana chama kimojawapo cha kusaidiana chenye utaratibu maalum wa siri.
k
pia kuna thread ipo hapa Jf "freemason inside- out" kwenye jukwaa la Intellegence soma hapo itakusaisia kuelewa
Wapo lumumba office ya ccm, ukiingia ndani mule upande wa kushoto ulizia kuna office.
 
Ni solidarity. Wanapeana vyeo, tenders nk. Kwa kifupi wananyanyuana. Tatizo lao kubwa ni usiri. Kitu kisichoeleweka kinatungiwa mambo mengi.
kama haihusiani na mambo ya giza kwanini mambo yao yanakuwa siri yanajulikana kwa tetesi na kubahatisha?
 
1-Freemason ni wajenzi huru na ilianza enzi zile za kujenga pyramids MISRI,2-Everywhere 3-unajiungia popote na kiukweli kuna neno moja la ki latin in CONTRACT lina state "Quid Quid pro Quo" means nothing goes for Nothing.! Sasa huwezi kuwa member bila ya kuwa na kitu either proffesion au tech ya kuwasaidia mission zao 4-- reffer to respond yangu no 3 an 5- actually ni Belief soo wale wanaoamini kwao ni imani na wanaabudu wanachokiamini...numbers like 1-,2- means Responds to questions.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom