rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
me nataka kujiunga ila kwanza nataka kujua faida zake na hasara nsijekuwa nakalia kaa la moto..!
Fika ofisini!.Karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
me nataka kujiunga ila kwanza nataka kujua faida zake na hasara nsijekuwa nakalia kaa la moto..!
Mm ntaku pm rubby tuongee vizuriUnatuhitaji? Fika ofisini kwetu
Hasara,ukishindwa kumtoa kafara mamako unakufa mwenyewe.
Si kweli jifunze kusoma vitu na kufanya utafiti utajifunza mengi...Tafuta maandishi ya Manly P Hall(33° Mason) kaelezea sana kuhusu Free MasonsHasara,ukishindwa kumtoa kafara mamako unakufa mwenyewe.
Kwa miaka mingi nimekuwa nikisikia hii imani ya freemasson,na baadhi ya watu kuhusishwa nayo.
Kwa mwenye uelewa kidogo na imani hii naomba atufafanulie.
1.Freemason ni nini?
2.Wanapatikana wapi?
3.Jinsi ya kujiunga na imani hii
4.Je hapa tanzania imani hii ipo?
5.Freemason ni dini au?
na mengine yanayoweza kutusaidia kuitambua imani hii
asante mkuu kwa ufafanuzi1. Freemason Ni KIKUNDI TU KIZURI CHA KUHAMASISHA WATU KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI KUJILETEA UCHUMI BORA.
2. Wanapatikana POPOTE PALE AMBAPO KUNA JAMII INAYOPENDA MAENDELEO YA KIMANTIKI NA SIYO YA KIUCHAWI KAMA YETU.
3. Kujiunga KWAO YAKUPASA UWE NA AKILI, KUBWA NA ZILIZOTUKUKA AMBAZO NAAMINI WEWE HUNA NA HUTOKUJA KUWA NAZO.
4. Si Tu TANZANIA IPO BALI HATA MBINGUNI KWA MWENYEZI MUNGU WAPO NA WANAIGA SERA YA MUNGU YA BROTHERHOOD.
5. Freemason NI IMANI YA KUKUFANYA UJITUME KUFIKIA MALENGO YAKO LAKINI UPENDE KUSAIDIA WALE WENYE MAHITAJI.
Hayo Mengine Unayotaka Kuyatambua Kuhusu Imani Hii Ni KWAMBA NISIKUFICHE HAPA WATANZANIA WALE WAPENDA USHIRIKINA WOTE NA WALIOFANIKIWA KUPITIA USHIRIKINA ( MIZIZIOLOGY ) HUPENDA KUJIFICHA KWA KIVULI CHA FREEMASON ILI KUKWEPESHA LENGO NA USISAHAU KUWA 95% YA WATANZANIA NI MAPOPOMA WAKUBWA WALIOTUKUKA KUHUSIANA NA SUALA ZIMA LA FREEMASON NA MEDIA ZETU KWAKUWA NAZO 99.999% ZIMEZOEA UMBEA AMBAO UMERATIBIWA KWA KIASI KIKUBWA NA WATANZANIA WANAOPENDA KUSIKIA TAARIFA ZA KISHIRIKINA NA UMBEA HIVYO JAMII YETU KUBWA IMESHAATHIRIKA.
Naomba Niishie Hapa Mkuu ILA Hakikisha UFAFANUZI Huu Unawafikia WALE WASHIRIKINA Na WAPOTOSHAJI Wote Kuhusu FREEMASON.
nenda mnazi mmoja panda gar la fery shuka kituo vha bunge rudi nyuma hatua hamsin upande ulioshukia utaona jengo jeupe lina bango limeandikwa freemanson hall ila aga kabisa nyumban ili wakikubadilikia ndungu zako wakuwai kabla hujachinjwaKwa miaka mingi nimekuwa nikisikia hii imani ya freemasson,na baadhi ya watu kuhusishwa nayo.
Kwa mwenye uelewa kidogo na imani hii naomba atufafanulie.
1.Freemason ni nini?
2.Wanapatikana wapi?
3.Jinsi ya kujiunga na imani hii
4.Je hapa tanzania imani hii ipo?
5.Freemason ni dini au?
na mengine yanayoweza kutusaidia kuitambua imani hii
Freemason ni brotherhood ambayo inaendesha shughuli zake kisiri. Hawa members lazima wawe wana amini in a superior God, Allah, Buddha etc. hawa jamaa wanasaidiana bila wengine kujua connection.1. Freemason Ni KIKUNDI TU KIZURI CHA KUHAMASISHA WATU KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI KUJILETEA UCHUMI BORA.
2. Wanapatikana POPOTE PALE AMBAPO KUNA JAMII INAYOPENDA MAENDELEO YA KIMANTIKI NA SIYO YA KIUCHAWI KAMA YETU.
3. Kujiunga KWAO YAKUPASA UWE NA AKILI, KUBWA NA ZILIZOTUKUKA AMBAZO NAAMINI WEWE HUNA NA HUTOKUJA KUWA NAZO.
4. Si Tu TANZANIA IPO BALI HATA MBINGUNI KWA MWENYEZI MUNGU WAPO NA WANAIGA SERA YA MUNGU YA BROTHERHOOD.
5. Freemason NI IMANI YA KUKUFANYA UJITUME KUFIKIA MALENGO YAKO LAKINI UPENDE KUSAIDIA WALE WENYE MAHITAJI.
Hayo Mengine Unayotaka Kuyatambua Kuhusu Imani Hii Ni KWAMBA NISIKUFICHE HAPA WATANZANIA WALE WAPENDA USHIRIKINA WOTE NA WALIOFANIKIWA KUPITIA USHIRIKINA ( MIZIZIOLOGY ) HUPENDA KUJIFICHA KWA KIVULI CHA FREEMASON ILI KUKWEPESHA LENGO NA USISAHAU KUWA 95% YA WATANZANIA NI MAPOPOMA WAKUBWA WALIOTUKUKA KUHUSIANA NA SUALA ZIMA LA FREEMASON NA MEDIA ZETU KWAKUWA NAZO 99.999% ZIMEZOEA UMBEA AMBAO UMERATIBIWA KWA KIASI KIKUBWA NA WATANZANIA WANAOPENDA KUSIKIA TAARIFA ZA KISHIRIKINA NA UMBEA HIVYO JAMII YETU KUBWA IMESHAATHIRIKA.
Naomba Niishie Hapa Mkuu ILA Hakikisha UFAFANUZI Huu Unawafikia WALE WASHIRIKINA Na WAPOTOSHAJI Wote Kuhusu FREEMASON.
ni kweli imani hii inahusiana na utajiri?Freemason ni brotherhood ambayo inaendesha shughuli zake kisiri. Hawa members lazima wawe wana amini in a superior God, Allah, Buddha etc. hawa jamaa wanasaidiana bila wengine kujua connection.
Ni solidarity. Wanapeana vyeo, tenders nk. Kwa kifupi wananyanyuana. Tatizo lao kubwa ni usiri. Kitu kisichoeleweka kinatungiwa mambo mengi.ni kweli imani hii inahusiana na utajiri?
kuna uhusiano wowote wa freemason na mambo ya kafara?Freemason ni brotherhood ambayo inaendesha shughuli zake kisiri. Hawa members lazima wawe wana amini in a superior God, Allah, Buddha etc. hawa jamaa wanasaidiana bila wengine kujua connection.
Hamna. Dini zote zinakataza kuua, nyingine hata kuua sisimizi dhambi. Kama nilivyosema awali lazima uwe na imani yako.kuna uhusiano wowote wa freemason na mabo ya kafara?
Wapo lumumba office ya ccm, ukiingia ndani mule upande wa kushoto ulizia kuna office.Wapo, wanajengo lao Tz -Dar es salaam mitaa ya posta. unaweza kwenda pale kuulizia utaratibu wa ibada.
freemason ni mwana chama kimojawapo cha kusaidiana chenye utaratibu maalum wa siri.
k
pia kuna thread ipo hapa Jf "freemason inside- out" kwenye jukwaa la Intellegence soma hapo itakusaisia kuelewa
kama haihusiani na mambo ya giza kwanini mambo yao yanakuwa siri yanajulikana kwa tetesi na kubahatisha?Ni solidarity. Wanapeana vyeo, tenders nk. Kwa kifupi wananyanyuana. Tatizo lao kubwa ni usiri. Kitu kisichoeleweka kinatungiwa mambo mengi.