Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
jamani nataka kujua ya kweli Rostam Azizi na Reginald mengi, Chenge na mkwere wooote ni freemasons
 
Whatever it my be, they've nothing to do to alter our minds!, hiding or

publicizing themselves it's of none sense to shake our strong built faith!

What they believe is nothing but darkness and Dirtiness

Their right place is nowhere but Hell coz they've abused their Creator

Watch out!, Don't be brain-folded for JESUS IS COMING SOON
 
While Freemasonry has often been called a "secret society", Freemasons themselves argue that it is more correct to say that it is an esoteric society, in that certain aspects are private.The most common phrasing is that Freemasonry has, in the 21st century, become less a secret society and more of a "society with secrets". The private aspects of modern Freemasonry are the modes of recognition amongst members and particular elements within the ritual. Despite the organisation's great diversity, Freemasonry's central preoccupations remain charitable work within a local or wider community, moral uprightness (in most cases requiring a belief in a supreme being-God, llah, Jehova according to idividuals) as well as the development and maintenance of fraternal friendship, as James Anderson's Constitutions originally urged amongst brethren.

NOTE: fremason is not a religion but commited people to do those tasks mentioned above and many more charitable work, the isue is the major religions are fighting them,because they are powerful and commited to whatever their plans they also feed their followers with wrong info about fremanson! and every free manson has his own religion, whether Christian, muslim etc! here they call it Supremme Being!
 
kizazi chochote kilichoikana dini yake ya asili na kuitukuza dini yoyote ambayo ni ngeni na ambayo haina connection kabisa na mila na desturi zake basi huyo amekuwa brainwashed.
The first brainwashed person is you! Kwa nini unatumia internet? Ungeendelea kuishi bila internet, kuishi ktk nyumba za nyasi....et al.

Imani yako ikiwa mbofu tupa chukua iliyo bora. Teknolojia yako ikiwa mbofu, tupa chukua iliyo bora....else ujue uko brainwashed.

I hope hautakubali kuwabudu mtemi wako kama mungu :msela:
 
Hawa jamaa freemason kuna mambo wanayoyafanya yanayokinzana hata na dhamira zao wenyewe ndio maana yanakuwa ni ya kifichi. Kimsingi hawawezi kukwepa kuwa wao sio dini kwani imani yao imejengwa katika kitabu cha biblia ila kwa tafsiri potofu iliyo ya kimwili(kiakili) zaidi. Na wanapingana na msingi mkuu wa kitabu cha biblia. Wanaamini na kudai kwamba kitabu cha mwanzo (ginesis) ndio mwanzo wa kuidharau biologia ya uumbaji na kumfanya mwanamume kuwa muumbaji wa mwanamke kwamba Eva alitoka katika ubavu wa Adamu. Sasa hii ndio wanaamini ni mwanzo wa uuaji wa goddes. Kwani kabla ya hapo hata huko misri ya kale makuhani wanawake walifanya sherehe ya kusherehekea ngunvu ya uumbaji kwa kufanya tendo la ngono na makuhani wanaume. Hawa freemason/illuminati wana ibaada ya kusherehekea nguvu ya uumbaji kwa uungu wa kike (femimine) kukutana kingono na nguvu ya uumbaji ya kiume (masculine). Tendo hili wanaliita sherehe takatifu ta millennia ati yahwe meet shakhina(utukufu wa shekina
). Pia wana malawimaaluma na wanawake wakati wa hilo tendo huvaa masks kiasi kwamba sii raisi mwanaume anaemwingilia kutambua ni nani. Hii inawezapelekea ukamwingilia mama/dada yako kingono kama nae ni mwanachama wa hili kundi. Ma-illuminate wao wamejizatiti zaidi kisayansi na wanamwelezea mungu kiphisykia na nguvu zao wameziweka katika uchumi. Na madai yao yakuwawezesha wanadai yametokana na kuwekeza katika ufunguaji wa elimu ya juu (university), viwanda na ubunifu wa serikali za kisekula nje ya zile za kale ya kidini. Wanaamini kushikilia akili ya uendeshaji wa sayari yetu. Ni wapinzani wakubwa wa imani ya ukristo hasa kwenye eneo la uungu wa Yesu, kwani wanaamini jambo hilo ni deal la kanisha hasa RC kuanzia wakati wa constantine the great.
Kimsingi wana mengi yalio imani mbofu mbofu ambayo tunaweza kuyadonoa kidogo kidogo kadri tutakavyojaliwa.
.
 
Duh! Lakini ni nzuri kujua mkuu maana mimi ni mwandishi wa habari zisizoandikikana! hahahaha:twitch:
hapo kwenye hahaha ndio umefanya tusikuchukulie serious kabisa. Hizi conspiracy theories nyingine zinafurahisha sana eti tsunami imetengenezwa..kwa madhumuni gani?
Mnaozungumzia illuminati kasomeni kitabu au angalieni movie ya angel and demons wamewazungumzia kidogo.
 
hakuna cha freemasons kushusha uchumi! PESA za EPA, DOWANS, RADA, N.k wamechukua Freemasons?! acha vitu vya kusadikika! acheni wizi, fanya kazi kwa bidii, kuweni wabunifu uchumi utapaa! acheni pumba! Tuna university of DSM tangu waanze kufundisha mechanical Engineering, wamewahi ata kuunda gari? au nifahamisheni kitu gani cha maana wamefanya? ni wengi wa namna hiyo! then mnasema freemasons! huo moto unaozungumza umewahi kuuona?


Wacha baba maneno hiyo, kama wewe haikojua omba jua ikuwakie! Dowans, EPA nk ni za Ulimwengu wote? Hata USA wanamzozo wa Dowans? wewe ngoja nikupe usome hii document lakini usichanganyikiwe!
 
Thank you kaka kwa hiyo elimu....nasikia hao jamaa wameanzisha branch huku TZ nataka kujua wako wapi...kipindi niko mdogo kuna dada mmoja jirani yetu alikuwa anaworship kwenye hiyo kitu ila alikuwa anaenda pande za Kenya
 
kuna movie ya Tom cruise aliyo act kama moja wa freemason, title: EYES WIDE SHUT. Theme is based on cult associated with them.
 
kujiunga huko lazima uliwe tiGO....

We yoyo acha uongo! ulijuaje? Ao na wewe uliliwa? hahahaha
Nadhani kama kweli jamaa anataka kujiunga itabidi awe makini zaidi na afungue akili yake, ataona tu njia ya kuwapata washkaji inaonekana kirahisi. ni vile hajui tu ila naamini wako karibu yetu kuliko tunavo fikiria.
 
bado nahitaji kujua ukweli zaidi hasa hapa Kwetu Tz. Haya machafuko na hasira za watu on Govt. Je viongozi wengi wamejiunga na mtandao wa kishetani au ni kizazi cha nyoka? Au cha Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu?. Washindwe kwa jina la Yesu. *IF GOD IS IN OUR SIDE, WHO WILL BE AGAINST US
 
Dah!! hivi nini kinapelekea hadi watu wanaamua kujiunga na huu ushetani wa wazi hivi?
 
Skull and Bones = Illuminati?



"The Order of Skull and Bones"

Everything You Ever Wanted to Know, But Were Afraid to Ask.
By Kris Millegan
Is the Order of the Skull and Bones part of the Illuminati?
When a person is initiated into Skull and Bones, they are given a new name, similar to the practice of the Illuminati. And many recorded Illuminati members can be shown to have contact and/or strong influences with many of the professors that taught "Bonesmen" in Berlin.
When a secret society conspires against the sovereignty of a king, they need to organize, raise funds, make their plans operational, and hopefully bring them to fruition.
Could we have in the United States a secret society that has used the "National Security State" as a cover for their nefarious plans?


Read more »
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom