Iron Lady
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 4,071
- 1,374
Hivi mwizi akijitangaza kuwa yeye ni mwizi inaondoa ukweli wa kuwa yeye ni mwizi?
i like your thinking,
haiondoi inaweza kuwa ana kiri kuwa ni mwizi ili usipate tabu ya kuuliza nani ni mwizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mwizi akijitangaza kuwa yeye ni mwizi inaondoa ukweli wa kuwa yeye ni mwizi?
Siri hiyo kaondoka nayo mwenyewe Kanumba.Ni kweli Kanumba alikuwa mwanachama wa Freemason?
SOMA UFUNUO 13 na kuendelea...
Nielewavyo Freemason ni dini kama dini nyingine ila watu wanawazushia ubya wa kishetani.
JAMANI, hata wakristu na waislam has wa siasa kali kwa pande zote kuna mambo wanazushiana juu ya dini zao.
sishangai freemason kupondwa
Tafakari kabla hujadhani ..............DINI YA KUABUDU USIKU TU???? DINI YA KISIRI?? DINI YA KUBAGUA MWANAMKE NA MWANAMUME?? DINI YA KIGEZO CHA UMRI???
MUNGU NI MUNGU WA WOTE WENYE MWILI ................SASA MUNGU WA UMRI FULANI .......... HIYO NI DINI KWELI???
HATA KAMA TUSEME NI CHAMA...............STILL INATIA MASHAKA .......CHOCHOTE KINACHOFANYWA KWENYE GIZA KINA MATATIZO ..........WAABUDU BASI MCHANA KWEUPE KWENYE HAYO MA- LODGE YAO ...........WANAJIFICHA NINI KAMA NI WASAFI????
WAJE NURUNI TUWAONE OTHERWISE - SHETANI NI MFALME WA GIZA NA NDIO MAANA IBADA/MIKUTANO YAO NI USIKU
Naomba nikusahihishe kidogo ndugu yangu...Ile logo ya Chuo cha Tiba Muhimbili anayening'inia kwenye mti sio nyoka kama wengi ambavyo wanadhania bali yule ni MNYOO aitwae Dracunculus medinansis..
Naomba usiniite muongo wakati unachokiandika huna uhakika nacho..Ninachokisema nina uhakika nacho kwa asilimia 100..Kwa nini usi google huyo Mnyoo niliyekutajia uone kama niko right au wrong? Tatizo husomi ukaelewa...