Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
Hivi mwizi akijitangaza kuwa yeye ni mwizi inaondoa ukweli wa kuwa yeye ni mwizi?

i like your thinking,
haiondoi inaweza kuwa ana kiri kuwa ni mwizi ili usipate tabu ya kuuliza nani ni mwizi.
 
ha ha ha hahahaha!!!!!!icadon picha yako imenikumbusha mbali mkubwa!!!

mchango wangu kuhusu hawa wajamaa ni kua ndo wanaongoza hii dunia.ni km maji,kwan ukishikwa kiu huna budi kunywa maji,au kinywaji chochote jamii ya maji kitakacho kata kiu.mfano wanamiliki lodges karibu kila mkoa Tanzania hapa.hawakwepeki ni km upepo.tunawatumikia kila siku wengi wetu bila kujua na hata km utajua huna cha kufanya kwani wao ndo wanakua na uwezo kwa kubuni vitu vingi vinavyoendana na utandawazi na ambavyo tunavitumia kila siku.mf,magari,simu,computer,bia,maji,soda,dawa za hospital nk.
 
Mungu atujalie wepesi, maana watatokea manabii wengi wa uongo
nawatuma kama kondoo ndani ya mbwa mwitu wakali
iweni wapole kama huwa (njiwa) lakini wenye busara kama nyoka
 
asee god z evrythng alama na symbols nyinginezo zisitutishe, god iz wit us and he won't leave us..
about alama hata wewe ukiamua kufanya yako na ukamtel mtu ni masonic sign atabiliv, u knw wat guys huu ni upepo tu kama wa siasa,it is a strategy for them 2 b known thru' rumaz and signs, trust n biliv in almight god
and rimemba dat "GOD WANTS SPIRITUAL FRUITS NOT RELIGIOUS NUTS"
 
nilichoka pale nilipoambiwa kuwa jengo lao liko Upanga, na si Posta mtaa wa Sokoine kama wengi tulivyo kariri...
 
SOMA UFUNUO 13 na kuendelea...

1Kisha nikaona mnyama akitoka baharini. Alikuwa na pembe kumi na vichwa saba na taji kumi kwenye pembe zake. Na kila kichwa kiliandikwa jina la kufuru. 2Huyo mnyama alifanana kama chui lakini miguu yake ilikuwa kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka lilimpa mnyama huyo nguvu zake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu. 3Kichwa kimoja cha huyo mnyama kilione kana kama kilikwisha kuwa na jeraha lisiloweza kupona, lakini jeraha hilo lilikuwa limepona na dunia nzima ilimstaajabia huyo mnyama na kumfuata. 4 Watu waliliabudu lile joka kwa sababu lilikuwa limempa huyo mnyama uwezo wake. Pia walimwabudu huyo mnyama wakisema, ''Ni nani aliye kama huyu mnyama? Ni nani awezaye kupigana naye?''

5 Kisha huyo mnyama akaruhusiwa kusema maneno ya kujisifu na ya kufuru na akapewa haki ya kutawala kwa muda wa miezi arobaini na miwili. 6 Alisema maneno ya kumkufuru Mungu, akilitukana jina lake na mahali aishipo, yaani, aliwatukana wale waishio mbinguni. 7Pia aliruhusiwa kuwapiga vita watu wa Mungu na kuwashinda. Alipewa uwezo juu ya watu wa kila kabila, kila ukoo, kila lugha na taifa. 8Na watu wote waishio duniani watamwabudu, yaani kila mmoja ambaye tangu kabla ya ulimwengu kuumbwa, jina lake haliku andikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo aliyechinjwa.

9. Aliye na nia ya kusikia, asikilize kwa makini: 10. Yeyote aliyepangiwa kuchukuliwa mateka atatekwa. Mtu ye yote akiua kwa upanga atauawa kwa upanga. Na hii ndio nafasi ya watu wa
Mnyama Kutoka Ardhini
11Kisha nikamwona mnyama mwingine akipanda juu kutoka katika ardhi. Alikuwa na pembe mbili kama za mwana kondoo lakini aliongea kama joka. 12Naye alitumia uwezo wote wa yule mnyama wa kwanza aliyemtangulia. Akalazimisha dunia yote na wote waliomo duniani wamwabudu huyo mnyama wa kwanza aliyekuwa na jeraha la kifo lililokuwa limepona. 13Huyu mnyama wa pili akafanya miujiza ya ajabu hata kufanya moto utoke mbinguni na kushuka duniani mbele ya watu. 14Kwa njia ya miujiza aliyowezeshwa kufanya kwa niaba ya yule mnyama wa kwanza, aliwadanganya watu waishio duniani. Aliwaamuru watengeneze sanamu kwa heshima ya yule mnyama aliyekuwa amejeruhiwa kwa upanga lakini akaishi. 15Kisha akawe zeshwa kuipatia pumzi ile sanamu ya mnyama wa kwanza hata ikaweza kuongea na kufanya wale wote ambao hawakuiabudu wauawe. 16Pia aliwalazimisha watu wote, wakubwa kwa wadogo, matajiri na mas kini, watu huru na watumwa, watiwe alama kwenye mikono yao ya kulia au kwenye vipaji vya nyuso zao. 17Hakuna mtu ye yote ambaye angeweza kununua au kuuza kitu kama hana alama ile, yaani jina la huyo mnyama au namba ya jina lake.

18Jambo hili linahitaji hekima. Mwenye akili ya kutambua apige hesabu ya mnyama huyo kwa sababu ni namba ya mtu. Namba yake ni mia sita sitini na sita ''666''.
 
Nielewavyo Freemason ni dini kama dini nyingine ila watu wanawazushia ubya wa kishetani.

JAMANI, hata wakristu na waislam has wa siasa kali kwa pande zote kuna mambo wanazushiana juu ya dini zao.

sishangai freemason kupondwa

Tafakari kabla hujadhani ..............DINI YA KUABUDU USIKU TU???? DINI YA KISIRI?? DINI YA KUBAGUA MWANAMKE NA MWANAMUME?? DINI YA KIGEZO CHA UMRI???

MUNGU NI MUNGU WA WOTE WENYE MWILI ................SASA MUNGU WA UMRI FULANI .......... HIYO NI DINI KWELI???
HATA KAMA TUSEME NI CHAMA...............STILL INATIA MASHAKA .......CHOCHOTE KINACHOFANYWA KWENYE GIZA KINA MATATIZO ..........WAABUDU BASI MCHANA KWEUPE KWENYE HAYO MA- LODGE YAO ...........WANAJIFICHA NINI KAMA NI WASAFI????

WAJE NURUNI TUWAONE OTHERWISE - SHETANI NI MFALME WA GIZA NA NDIO MAANA IBADA/MIKUTANO YAO NI USIKU
 
1. Naomba ushahidi kuwa Freemason ibada\mikutano yao hufanyika usiku.

2. nimekukariri na kukunukuu ukidai chochote kinachofanywa kwenye Giza kina matatizo...OK naomba matatizo yatokanayo na mikesha inayofanywa na wakristo makanisani na pia mikesha either ya Maulid au kitu chochote inayofanywa na waislam misikitini au kwengineko.

3. Kisha nimekukariri ukidai FreeMason ni dini ya kubagua wanawake\wanaume...je umewahi kusikia Mwanamke amekuwa Imam?
Au je umewahi kusikia Mwanamke amekuwa Pope\Papa?

4. Pia naomba maelezo yenye ushawishi na uhakika kuwa Freemason ni Dini.
Coz wao kama wao wanajieleza kuwa Freemason ni Society.

Naomba majibu na maelezo ya kina.
NB: Usikurupuke...
 
Naomba nikusahihishe kidogo ndugu yangu...Ile logo ya Chuo cha Tiba Muhimbili anayening'inia kwenye mti sio nyoka kama wengi ambavyo wanadhania bali yule ni MNYOO aitwae Dracunculus medinansis..
 
Naomba nikusahihishe kidogo ndugu yangu...Ile logo ya Chuo cha Tiba Muhimbili anayening'inia kwenye mti sio nyoka kama wengi ambavyo wanadhania bali yule ni MNYOO aitwae Dracunculus medinansis..

Huu uongo umeutoa wapi wewe?
 
Naomba usiniite muongo wakati unachokiandika huna uhakika nacho..Ninachokisema nina uhakika nacho kwa asilimia 100..Kwa nini usi google huyo Mnyoo niliyekutajia uone kama niko right au wrong? Tatizo husomi ukaelewa...
 
Nina uhakika kwa sababu ninajua sio mnyoo ni nyoka,narudia ulichosema ni uongo.Leta ushahidi. . . . .
 
wana JF naomba nihoji kuhusuhuyo mnasema ni mnyoo mara ni nyoka ,hamkumbuki hata wana israeli pale nyikani wlipoasi waliambiwa watizame nyoka wa shaba na wakapona ,mkumbuke kuwa ktk yote kina fake na asilia
 
I always think that fremasonry does not exist, and even if it does, it is now too much exagerrated, it can be just a normal organisation which conducts its things clandestinely, but not the roumurs of people that they are connected to evil as you are even yourself tring to elaborate, Mexence, I appriciate your knowledge about fremasonry but iam still not conviced, lets continue to dig more may be i can believe it in the long run.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom