Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
mmh!! ya kuhusu muhimbili logo its true wana mahanisha ya nyoka wa shaba!! ila may be kama wana maana nyingine zaidi ya hiyo
 
This frmason thing inawachanganya watu wajifunze alama na sheria zao badala ya za Mungu wa kweli,jifunzeni za Mungu.
 
People will believe what they want to believe, but truth about masonry is with masonry itself, say what you may say, it can never alter the truth which all of you do not know
 
acheni kutangaza haya majamaa tangazeni habari za mungu ili wamjue mungu zaidi na siyo ayo jamaa!
 
Texas Longhorn or 'Texas UT' symbol. Duuh sasa tumewajua memba kama hizo evidence ni za kweli si za photoshop au zina maana nyingine, sasa je shughuli kuu ya hawa freemanson ni nini na madhara yao kwa jamii ni nini?
 
Makampuni makubwa duniani yamekuwa yakitumia fedha nyingi kujitangaza na kutangaza bidhaa zao ili kupata watumiaji/walaji wengi zaidi,huku yakishindana katika kutoa bidhaa bora na zitakazoshindana na zingine.Kila kampuni ina nembo yake(Logo) ambayo inatumika kama utambulisho wa bidhaa au kampuni husika.Nembo hizi(Trade marks)hazitambulishi kampuni tu na bidhaa zake, bali hata filosofia na mrengo(affiliation) wa kampuni yenyewe.Orodha ifuatayo ni makampuni yenye nembo/trade mark zilizo na uhusian wa kipagani,kichawi na kishirikina.

1.ALFA ROMEO
Kampuni la utengenezaji magari lenye makao makuu yake Milan Italia.Alfa Romea wamekuwa ni watengenezaji wazuri sana wa magari ya kifahari.Nembo ya Alfa Romeo kwa kifupi ni ya kutisha! ni Duara mabalo ndani yake kuna joka kubwa linaloonekana likimeza mtu alinyoonya mikono yake juu kwa woga.Wote tunajua nyoka anamaanisha nini...sio tu katika vitabu vya dini,hata katika maisha ya kawaida nyoka ni kiumbe kinachohusishwa na uouvu,kifo na mikosi.Kampuni linapoamua kutumia joka linalomeza mtu kama nembo yake lina maana ya kichawi/kishirikina au kipagani iliyo jificha.
2Q==

2,APPLE MACKINTOSH.
Hili ni moja kati ya makampuni makubwa ya computer na yenye kutengeneza bidhaa zenye ubora uliotukuka.Nembo ya kampuni hii ni tunda aina ya apple lililong'atwa na kunyofolewa kipande.Wachunguzi wa mambo ya kipagani nia kishirikina wanahusisha nembo hii na kitendo cha kula tunda la mti wa uzima kama Adam na Eva walivyofanya katika bustani ya Eden..."The forbiden fruit" kama vitabu vya Mungu vinavyotanabaisha.Symbollically logo hii ni kama inasherehekea anguko la Adam na Eva katika bustani ya Eden baada ya kula tunda lile na kumuasi Muumba wao.Ikumbukwe kuwa kampuni hii ilianzishwa na Steve Jobs na Steven Wozniak miaka ya 70 na computer yao ya kwanza walioipa jina la Apple 1 waliiuza$ 666.66.Kama tujuavyo namba 666 imeandikwa katika vitabu vya Mungu kama alama ya Mnyama."beast" na mshirika mkubwa wa shetani.
2Q==

3,VODAFONE.
Vodafone....moja kati ya makampuni makubwa sana duniani lenye makao yake makuu Newbury Uingereza.Logo ya Vodafone inaingia katika kundi hili kwa kuwa na namba 6 tatu kama "MARK OF THE BEAST" ama alama ya mnyama au namba ya Shetani-Lucifer kama inavyotamkwa katika vitabu vya dini.Wenye kampuni hii waeona ni jambo la maana tu kujitwika nembo hii na namba hizi kama inavyoonekana hapo chini....
2949_Vodafone_logo_6662.jpg
vodafone666_hr.jpg

4,WALT DISNEY
Hili ni kampuni la vikaragosi maarufu na utengenezaji picha za filamu lililobuniwa na Walter Elias "Walt" Disney ambalo kwa mwaka 2010 lilingiza kiasi cha dola bilion 36.Kampuni hii pia kama ilivyo vodafone hapo juu..nayo imetumia namba 666 iliyojificha.Angalia logo ya disney hapo chini...
Z

5,EXXON MOBIL
Exxon Mobil kutoka Marekani labda ni kampuni kubwa la mafuta na gesi kuliko yote duniani in terms of capital na faida.Kampuni hii ina nembo ya kukufuru ikionyesha misalaba miwili, tena kwa msisitizo yenye rangi nyekundu ili walaji/watumiaji wa bidhaa za kampuni hii wajue tu "who is the boss" hapa."Fallen cross" ni alama inayotumiwa sana na wapagani kukashifu na kutukana ukristo na kudhihaki kifo cha Yesu msalabani.Alama hii imekuwa ikitumika sana na waabudu mashetani katika "black mass" mara nyingi.Tazama nembo ya Exxon hapo...
images

6 CBS
CBS ni moja kati ya mashirika makubwa sana ya utangazaji..si tu Marekani..bali duniani kote.Nembo ya CBS kama inavyoonekana hapo chini ni jicho moja.Jicho hili linalojulikana zaidi kama "The all -seeing eye of Horus" ni moja kati ya nembo za kipagani zinazotumika sana na makampuni makubwa duniani huku wakibadilisha kidogo tu muonekano wa jicho hilo.Horus ni 'mungu' aliyekuwa akiiabudiwa sana Misri ya kipagani na Mafirauni kabla ya kuingia kwa ustaarabu ciwa uisilamu huko.Alama hii ya jicho la Horus inatumika sana na hata katika 1 dollor bill. Jicho hili pia limetumika..jicho hili katika dola moja....
2Q==
dollar_ase.gif

HITIMISHO
Dunia imekuwa ikiendeshwa kishirikina mno na ikumbukwe kuwa mambo haya yalianza zamani sana.Makampuni makubwa yamekuwa yakitumia nembo au namba za kishirikina na kipagani kutoka katika miungu ya zamani ya Misri na Babeli katika bidhaa zao yakiiamini kuwa nembo au namba hizo zina nguvu za ajabu.Kwa mtazamo wa haraka utaona kwamba makampuni haya ni makubwa na yamefanikiwa sana kibiashara na kifedha.Lakini ikumbukwe kwamba utumiaji wa nembo hizi katika bidhaa zao ni kielelezo cha filosofia na mrengo wa makampuni husika katika maswala ya kiimani na mahali yalipojiegemeza(Sartanism)
 
Mungu wa kweli yupi?
Mungu wa kweli ni huyo hizi sign zote zinajaribu kuwa against nae ama huyu hizi signs zinazo onyesha kupambana nae.utakua unaelewa kama namba 666 ikiwa kama alama kuu ya hizi society na organisation za kishetanishetani ni alama ya mpinga nani,kama hujui soma kitabu cha ufunuo kwenye biblia.Mungu ambae alama zinazotumika na hawa watu kama nyoka zimesemekana kuwa alama ya uadui kwake.
 
Bw.Time Bandit na wanajamvi wengine nilishawahi kusikia kuna technologia na desingn za vitu kama magari, simu, majumba n.k zinatolewa kuzimu moja kwa moja je kuna uhusiano wowote na hizi logo zenye alama zao na kuna ushaidi wa uwezekano huo?
 
Mji wa Washington umejengwa kwa symbolism ya freemasons. Umesikia zile rumorus kwamba Freemasons wanaabudu mashetani? Well,unfortunately,those rumours are true. Freeemasons basically ni Wayahudi ambao wanataka kuitawala Dunia. Wameungana wao na another group,Illuminati. Programme yao ya kuitawala Dunia inaitwa Protocals of the elders of Zion. Freemasons believe in Lucifer. Ukitaka kujiunga na freemasons,that is all you need to remember.

x x x Singing x x x This is super storyyyy!
 
Mkuu Time Bandit umesahau pia LOGO za kampuni kubwa kama: COCA COLA, AOL, FOX, LOOMIS, MICROSOFT, CITGO et el. Hizo Os zimebeba ujumbe mkubwa ktk muktadha mzima wa ILLUMINATI.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Time Bandit umesahau pia LOGO za kampuni kubwa kama: COCA COLA, AOL, FOX, LOOMIS, MICROSOFT, CITGO et el. Hizo Os zimebeba ujumbe mkubwa ktk muktadha mzima wa ILLUMINATI.

Kaka Iselamagazi nashukuru kwa angalizo.....Wenyewe wanasema "the World is not ruled by money but symbols"..logo nyingi mno zinawatambulisha hawa jamaa.Hata ya tiGo nayo imo.
 
Bw.Time Bandit na wanajamvi wengine nilishawahi kusikia kuna technologia na desingn za vitu kama magari, simu, majumba n.k zinatolewa kuzimu moja kwa moja je kuna uhusiano wowote na hizi logo zenye alama zao na kuna ushaidi wa uwezekano huo?
Bw Munisi,ikumbukwe kwamba hizi zinaitwa secret societies na kama jina linavyojitanabahisha,wanafanya kazi kwa usiri mkubwa sana.Lakini ukweli ulio wazi ni kwamba makampuni yote makubwa yan logo za kishirikina ambazo zilitumika na jamii za kipagani za Babeli na Misri ya kale.
 
Bw Munisi,ikumbukwe kwamba hizi zinaitwa secret societies na kama jina linavyojitanabahisha,wanafanya kazi kwa usiri mkubwa sana.Lakini ukweli ulio wazi ni kwamba makampuni yote makubwa yan logo za kishirikina ambazo zilitumika na jamii za kipagani za Babeli na Misri ya kale.

Ndugu yangu asikudanganye mtu kuhusu hawa freemasons!!
Hawa ni nothing but devil worshippers! Kazi yao kuubwa ni kuabudu shetani na kukusanya mapesa ya wajinga. Kwa kuwaingiza kwenye ibada zao za kishenzi! Na kuzini usiku na mchana.
Hawana siri yyt ya kutisha! Ila wanafanya watu wadhani hivyo!
Na kwa sababu ni dini ambayo inongozwa na matajiri na watu maarufu ndio maana huoni siri zao mara kwa mara!
Ukiangalia ripoti za hao waliokuwa ndani ya jumuia hii ndani ya week leaks utaona ni upuuzi mtupu!

Lkn wasiojua wanadhani ni kitu kikuuuubwa!
Lkn ni mavi matupu!
Afadhali hata uchawi wa bongo unatisha kuliko hawa freemasons!
 
Ndugu yangu asikudanganye mtu kuhusu hawa freemasons!!
Hawa ni nothing but devil worshippers! Kazi yao kuubwa ni kuabudu shetani na kukusanya mapesa ya wajinga. Kwa kuwaingiza kwenye ibada zao za kishenzi! Na kuzini usiku na mchana.
Hawana siri yyt ya kutisha! Ila wanafanya watu wadhani hivyo!
Na kwa sababu ni dini ambayo inongozwa na matajiri na watu maarufu ndio maana huoni siri zao mara kwa mara!
Ukiangalia ripoti za hao waliokuwa ndani ya jumuia hii ndani ya week leaks utaona ni upuuzi mtupu!

Lkn wasiojua wanadhani ni kitu kikuuuubwa!
Lkn ni mavi matupu!
Afadhali hata uchawi wa bongo unatisha kuliko hawa freemasons!
Mkuu ...don't ridicule mawazo ya wengine kama huna hard evidences au reasonable counter-argument!Wewe ni siri ngapi za Freemason unazijua?Na aliyesema hawa jamaa sio devil worshipers ni nani?They are devil worshipers alright na ni watu hatari kwa spiritual well-being ya watu wengine.Watu wanapenda kujua habari za hawa jamaa,so sioni tatizo hapo.Na kwa taarifa yako,may be unatumia kila kitu kutoka kwao bila kujua... from Redio unayoisikiliza,Tv na vipindi unavyoangalia,vinywaji unavyotumia,baadhi ya vitabu na magazeti unayosoma,lotion unayopaka,muziki unaousikiliza..nk....Ref...1,Manly P. Hall.."The Secret Teaching of all ages"....2,Albert Pike...."Morals and Dogmas" na The Vigilant Citizen » Discover the hidden symbolism in music videos, movies and famous landmarks around the world
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom