Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
samahani hapo kwenye alama ya nyoka kwenye logo ya muhimbili... mimi nahisi hiyo alama ya nyoka kwenye logo ya muhimbili imetokana na nature ya medical practice .. , ukiangalia alama za medical practise zina nyoka na ni toka enzi na enzi nahisi muhimbili waliamua kufata tu kwa sababu ndio alama inayomaanisha wanachokifanya , labda ungetusaidia kudadisi kuna uhusiano gani kati ya medical/ health practice na alama ya nyoka... inaweza ikawa ni freemason piaSwali gumu, lakini kuukubali Mwenge, kukubali alama za nyota zitumike enzi za Mwinyi, kukubali alama za nyoka kutumika kwenye logo ya Muhimbili University etc inaweza kutupa picha mbaya. Hata usalimianaji wake unatia wasiwasi.
Ngoja tuendelee kuzidodosa picha zote utaona kwanini nasema hivi...
But hao jamaa ayari wanajua pa kuwatega waumini..na dini changa nyingi zinaanza zikiwa na vionjo vyao....free masons wanaweza kuwa waliunganisha values za dini km Zoroastrian(dini ya zamani ya Iran, Dini za Egypt) ila kuja ibukia ktk wajenzi wa ulaya waliokuwa kaichukua tender kubwa za kujenga makanisa ...... na hivyo kujijenga karibu na eneo la kazi ya upinzani.ok ni mada ndeefu je mambo haya yana msaada gani kwetu? kwa kifupi kwa wale waumin wa dini zinazompinga shetan na kazi zake dhambi yoyote utakayoitenda huna tofauti na hao mnawaita illuminant. Kama wewe unavunja hata moja kati ya zile amri kumi jina lako liko hapo hata kama halijaandikwa. Zishikeni amri za MUUMBA wenu ili muwe salama. Pia vitu vingi ni nadharia vimetiwa chumvi ili kutia hofu katika mioyo ya watu simaanishi kwamba hakuna hilo kundi, ni nani hajawah kusikia hadith za wachawi wanatumia nguvu za giza wanafanya mambo ya kutisha na hata baadhi kuna iman ya utajiri wa kishirikina hapa hapa Tanzania. Mi napenda kuwashauri badala ya kusoma habar ya hawa watu nenda kasome Msahafu ama Bibilia mjue Muumba wako nae atakuongoza katika nia njema. Epukeni kujifunza vitu vya namna hii . private me nitakuambia nilichokutana nacho katika maisha yangu.
Wanajamvikama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, nimevutiwa na hili tangazo ila naogopa kukimbilia kwa haraka. Nataka kujua faida nahasara za kujiunga . Sasa nauliza free mason(FM) ni nini? Je watu hawa kweli wanaunganisha naFM? Masharti ya kujiunga ni magumu? Sitaki kuwa watu, kuloga au kuamini vitukama Mungu. Nataka hela, nataka utajiri.
samahani hapo kwenye alama ya nyoka kwenye logo ya muhimbili... mimi nahisi hiyo alama ya nyoka kwenye logo ya muhimbili imetokana na nature ya medical practice .. , ukiangalia alama za medical practise zina nyoka na ni toka enzi na enzi nahisi muhimbili waliamua kufata tu kwa sababu ndio alama inayomaanisha wanachokifanya , labda ungetusaidia kudadisi kuna uhusiano gani kati ya medical/ health practice na alama ya nyoka... inaweza ikawa ni freemason pia
samahani hapo kwenye alama ya nyoka kwenye logo ya muhimbili... mimi nahisi hiyo alama ya nyoka kwenye logo ya muhimbili imetokana na nature ya medical practice .. , ukiangalia alama za medical practise zina nyoka na ni toka enzi na enzi nahisi muhimbili waliamua kufata tu kwa sababu ndio alama inayomaanisha wanachokifanya , labda ungetusaidia kudadisi kuna uhusiano gani kati ya medical/ health practice na alama ya nyoka... inaweza ikawa ni freemason pia
Kwa uelewa wangu kidogo, Nyoka amekua akitumika kama alama ya uponyaji toka enzi na enzi.
Hata katika bible Muumba alimuelekeza Nabii Musa kuchonga Nyoka wa shaba ili yeyote atakeye gongwa na nyoka aponywe kwa kumtazama.