Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
Swali gumu, lakini kuukubali Mwenge, kukubali alama za nyota zitumike enzi za Mwinyi, kukubali alama za nyoka kutumika kwenye logo ya Muhimbili University etc inaweza kutupa picha mbaya. Hata usalimianaji wake unatia wasiwasi.

Ngoja tuendelee kuzidodosa picha zote utaona kwanini nasema hivi...
samahani hapo kwenye alama ya nyoka kwenye logo ya muhimbili... mimi nahisi hiyo alama ya nyoka kwenye logo ya muhimbili imetokana na nature ya medical practice .. , ukiangalia alama za medical practise zina nyoka na ni toka enzi na enzi nahisi muhimbili waliamua kufata tu kwa sababu ndio alama inayomaanisha wanachokifanya , labda ungetusaidia kudadisi kuna uhusiano gani kati ya medical/ health practice na alama ya nyoka... inaweza ikawa ni freemason pia
 
ok ni mada ndeefu je mambo haya yana msaada gani kwetu? kwa kifupi kwa wale waumin wa dini zinazompinga shetan na kazi zake dhambi yoyote utakayoitenda huna tofauti na hao mnawaita illuminant. Kama wewe unavunja hata moja kati ya zile amri kumi jina lako liko hapo hata kama halijaandikwa. Zishikeni amri za MUUMBA wenu ili muwe salama. Pia vitu vingi ni nadharia vimetiwa chumvi ili kutia hofu katika mioyo ya watu simaanishi kwamba hakuna hilo kundi, ni nani hajawah kusikia hadith za wachawi wanatumia nguvu za giza wanafanya mambo ya kutisha na hata baadhi kuna iman ya utajiri wa kishirikina hapa hapa Tanzania. Mi napenda kuwashauri badala ya kusoma habar ya hawa watu nenda kasome Msahafu ama Bibilia mjue Muumba wako nae atakuongoza katika nia njema. Epukeni kujifunza vitu vya namna hii . private me nitakuambia nilichokutana nacho katika maisha yangu.
 
But hao jamaa ayari wanajua pa kuwatega waumini..na dini changa nyingi zinaanza zikiwa na vionjo vyao....free masons wanaweza kuwa waliunganisha values za dini km Zoroastrian(dini ya zamani ya Iran, Dini za Egypt) ila kuja ibukia ktk wajenzi wa ulaya waliokuwa kaichukua tender kubwa za kujenga makanisa ...... na hivyo kujijenga karibu na eneo la kazi ya upinzani.
 
Freemason ni 'secret society' na hili swala la symbolism lengo lake ni hilo hilo amabalo limefikiwa. Kinachafanyika katika hiyo society ni kusaidiana katika mambo mbali mbali, kwa mfano kama wewe ni mshitakiwa na hakimu ni freemason mwenzako basi kesi inaweza kukuendea vizuri bila ya upande wa mashitaka kujua. Lakini kisheria kama hakimu anakufahamu basi ni lazima aseme hilo ili abadilishwe kwenye kesi. Sasa mkiwa ma-freemason basi hakuna sababu ya kutambilisha ufahamu wenu kwa vile ni chama cha siri. Kinachotokea Tanzania ni kuwa viongozi wa dini mbalimbali wanatumia chama cha freemasons kama uwakilishi wa shetani, kinachowasaidia ni kuwa:
1. Freemason ni chama cha siri.
2. Wanatumia alama mbalimbali kuwasiliana.
3. Wanatumia ishara na picha zenye maana ya siri.
Ukweli ni kuwa shetani hutamwona na madhambi makuu ya hapa duniani hayakufanywa na freemasons, Hitler, Pol Pot au Stalin hawakuwa ma-freemason. Sisi Tanzania tunatabia ya kukuza mambo na haswa mambo tusiyoyaelewa. Mfano ni kwanini swala la EPA halizungumziwi kama lilivyo? Kiasi kikubwa cha fedha kilikwenda wapi? Siyo kwamba ndiyo zilitumika kwenye uchaguzi wa 2005? Swala lingine mbona hakuna anayeuliza kuwa hela za EPA zilitoka wapi? Kuwa Benki Kuu ilikuwa imurusha makampuni hela za kigeni kwa miaka mingi hilo hatuna anayelitamka? Hela za EPA ni hela ambazo serekali ya Tanzania ilikuwa imewarusha wafanyabiashara.
 
Haya ndio matokeo ya kuacha kufuata muongozo wa Muumba na badala yake kufuatwa kiumbe

Yataibuka mengi sana
 
Wanajamvikama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, nimevutiwa na hili tangazo ila naogopa kukimbilia kwa haraka. Nataka kujua faida nahasara za kujiunga . Sasa nauliza free mason(FM) ni nini? Je watu hawa kweli wanaunganisha naFM? Masharti ya kujiunga ni magumu? Sitaki kuwa watu, kuloga au kuamini vitukama Mungu. Nataka hela, nataka utajiri.
 
Ndugu xamahani kwa kukukosoa,,,,kumbuka utajiri upo popote c duniani wala mbinguni na utajiri wa mbinguni hutegemea sana ulichokipanda duniani enzi za uhai wako,kumbuka thamani ya damu yako isije itokee siku wainywe kama supu ya pweza, wakati aliyekupa pumzi hakutoz chochote maskin wa mungu!!!!!
 
samahani hapo kwenye alama ya nyoka kwenye logo ya muhimbili... mimi nahisi hiyo alama ya nyoka kwenye logo ya muhimbili imetokana na nature ya medical practice .. , ukiangalia alama za medical practise zina nyoka na ni toka enzi na enzi nahisi muhimbili waliamua kufata tu kwa sababu ndio alama inayomaanisha wanachokifanya , labda ungetusaidia kudadisi kuna uhusiano gani kati ya medical/ health practice na alama ya nyoka... inaweza ikawa ni freemason pia

Nilivoelezewa baada ya kuuliza kwa nini medical cantre zinatumia alama hii.

Ni kuwa wamefata enzi zile za Musa alipowaokoa wana wa israel walipotakiwa kuponywa kwa kutazama mti uliokuwa na nyoka na wote waliowezakutazama nyoka yule walipona. Ndio maana hata Christian medical centre zinahiyo logo.
 
Salaam,
Wangapi mnajua kuwa Tanzania tuna mahekalu 9 ya Freemasons. kati ya hayo mahekalu 9, 5 yako Dar es Salaam, 4 yaliyobaki yapo Mwanza, Tanga, Arusha na Moshi. Hakuna hata moja linaloelezwa liko mtaa gani, na hapo nje, halijaandikwa kitu, ila hizi ni tarehe za kukutana!.

4385 - HAVEN OF PEACE LODGE
P.O. Box 201, Dar es Salaam.
Consecrated 31st March, 1922
by R. W. Bro. Sir Charles C. Bowring
FM Hall, DAR-ES-SALAAM
2nd Mon 3-5-6-7-8-9-10-11,Sat after 3rd Monday-4, Inst-4[FONT='times new roman', times][/FONT]
4830 - TANGA FRATERNITY LODGE
P.O. Box 22, Tanga.
Consecrated 28th September, 1926
by R.W. Bro. Sir P. Colville-Smith
FM Hall, TANGA
3rd Fri 2-4-6-8-10, Inst-2.
[FONT='times new roman', times][FONT=Verdana, Arial, Tahoma, Calibri, Geneva, sans-serif]
[/FONT][/FONT]5095 - DAR ES SALAAM LODGE
P.O. Box 483, Dar es Salaam.
Consecrated 22nd February, 1929
by W. Bro. J.E. Brunnen
Suspended on 9th November, 1989
Warrant returned on 25th March, 1991
FM Hall, DAR-ES-SALAAM
3rd Mon (except 1-2-12), Inst-9.

5111 - KILIMANJARO LODGE
P.O. Box 60, Moshi.
Consecrated 12th August, 1929
by R.W. Bro. Sir J.W. Barth
FM Hall, MOSHI
2nd Tue 1-2-3-4-5-6, 2nd Sat 9, 2nd Tue 10-11-12,
Inst-9.

5299 - GUIDING STAR LODGE
P.O. Box 316, Dar es Salaam.
Consecrated 27th November, 1931
by W. Bro. T. W. Williams
Suspended: October 1957.
Warrant Returned: June 1959
FM Hall, DAR-ES-SALAAM
4th Mon 3-4-5-6-7-8-9-10, 4th Sat 11, Inst11.

7485 - MWANZA LODGE
P.O. Box 733, Mwanza.
Consecrated 29th March, 1957
by R.W. Bro. H. Boazman
FM Hall, MWANZA
3rd Sat (except 3,9,12), 2nd Sat. 3-9, Inst-3

7504 - MOUNT MERU LODGE
P.O. Box 309, Arusha.
Consecrated 1st June, 1957
by R.W. Bro. G. Rivers-Thomas
FM Hall, ARUSHA
1st Tue (except 4-5), Inst-6
9534 - INSTALLED MASTERS' LODGE OF TANZANIA
P.O. Box 14339, Dar es Salaam.
Consecrated 29th January, 1994
by RW Bro J K Chande
FM Hall, DAR-ES-SALAAM
1st. Sat. 3-5-9-11, Inst.-11.[FONT='times new roman', times]
[/FONT][FONT='times new roman', times]
[/FONT]9794 - LODGE EAST AFRICA
P.O. Box 948 Dar es Salaam
Consecrated 26th March, 2005
by RW Bro Sir J K Chande KBE
FM Hall, Moshi Tanzania
4th Sat 3, 9, Inst-3

Pasco.

[FONT='times new roman', times]
[/FONT]
 
Duh

Maisha ya binadamu yamejaa mahangaiko
mno yaani huki freemasons kule Mungu
aliye hai.

Mungu ni Mwema kila iitwapo leo.
 
Freemason wana siri kubwa sn na imejificha ukitaka kujuwa mwombe sn mungu,sali,soma bible utawaju vizuri. Hell ni hapahap duniani na freemason ni tecnolory infomeshion soma ufunuo au kidunia soma secret blackpage ya malkia elizabeth ndo mwazilishi wa freemason
 
samahani hapo kwenye alama ya nyoka kwenye logo ya muhimbili... mimi nahisi hiyo alama ya nyoka kwenye logo ya muhimbili imetokana na nature ya medical practice .. , ukiangalia alama za medical practise zina nyoka na ni toka enzi na enzi nahisi muhimbili waliamua kufata tu kwa sababu ndio alama inayomaanisha wanachokifanya , labda ungetusaidia kudadisi kuna uhusiano gani kati ya medical/ health practice na alama ya nyoka... inaweza ikawa ni freemason pia

Kwa uelewa wangu kidogo, Nyoka amekua akitumika kama alama ya uponyaji toka enzi na enzi.
Hata katika bible Muumba alimuelekeza Nabii Musa kuchonga Nyoka wa shaba ili yeyote atakeye gongwa na nyoka aponywe kwa kumtazama.
 
Nyoka siku zote huwakilisha uasi na Yule nyoka Wa Shaba Wa Musa alikua akimuwakilisha Yesu Kua Atakuja kuinuliwa juu msalabani na kuponya watu! Na ndio maana Wote waliomtiza Yule nyoka Wa Musa walipona!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom