Fremu zinazojengwa hapa eneo la Jeshi Lugalo hadi njiapanda ya Kawe zitapangishwa raia au kwa askari tu?

Unataka kusema makamanda hawajayaona hayo?

Mkuu tafuta emuai umuulize hii inshu akikujibu uniite.......

kuna Watu wanatembea navifaa vidogo vinavyotumika kuchukua taarifa maeneo nyeti hayo......
Watu wanaotumiwa kukusanya hizo taarifa n wanafunzi wa shule ya msingi na pisi kali......
 
Kuna mtu aliwahi ni introduce kwenye huo mchongo!

Ilikuwa ni lazma utafute mwanajeshi mmoja uingie nae mkataba wa ujenzi ujenge fremu zako ila zinakuwa chini yake kimkataba kisha utafanyia biashara kibingwa.

Nilichomoaga hio nikaona ufala
 
Niliposikia tu sababu ya kupelekea Ujenzi huo jinsi ilivyo ya Kipuuzi ( kutokana na Unyeti wa hiyo Kambi ) kwa Tanzania nzima ni kwamba nchi yetu sasa iko Uchi kabisa kwa Maadui na ipo Siku Tanzania itakuwa Mali ya Taifa lingine.
Wazihamishe kambi za mjini zote wapeleke nje ya mji wanatubania nafasi.
Mji ukishakua yafaa wanahama.
 
Huyu jamaa nahisi simzalendo kabisa hivi atakambi zamalekani huagawanafuga mapoli
Kuna nchi inaitwa Malekani kama ulivyoandika hapa Mkuu? Sisi wengi Wetu tunaijua ile iitwayo Marekani.
 
Niliposikia tu sababu ya kupelekea Ujenzi huo jinsi ilivyo ya Kipuuzi ( kutokana na Unyeti wa hiyo Kambi ) kwa Tanzania nzima ni kwamba nchi yetu sasa iko Uchi kabisa kwa Maadui na ipo Siku Tanzania itakuwa Mali ya Taifa lingine.
Time change, majeshi duniani ni ya kisasa mno, kujenga frem outskirts hakuna tabu yoyote alikradi tu ni akina nani watapangishwa (we have friendly army but dangerous to nation enemy)

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
NIMEZIONA, ILA KWA MAWAZO YANGU WAMETUMIA VIBAYA ENEO HILI, WANGETAKIWA WAJENGE FREM ZA FLOOR MOJA MOJA
 
NIMEZIONA, ILA KWA MAWAZO YANGU WAMETUMIA VIBAYA ENEO HILI, WANGETAKIWA WAJENGE FREM ZA FLOOR MOJA MOJA
Kama tu Akili za Kujenga vyema hizo Fremu ( mpaka zingine zimepinda, zingine fupi na zingine zimeshaweka Ufa ) wamekosa je, unadhani Akili za Kupambana na Majeshi HATARI na Mahiri kwa sasa Afrika Mashariki kama ya Rwanda na Uganda watakuwa nayo na wataweza?
 
Ila ile design aisee hapa, frame zimekaa kama nyoka, bora wangeweka mall kubwa pale,

Afu parking hamna, mtu atembee umbali mrefu kufuata bidhaa
 
Uko sahihi kabisa
 
Kuna nyama fulani ipo kule sikumbuki vizuri ni kitimoto au mbuzi tabu ukilewa na ukaanza vurugu sijui inakuwaje itakuwa kama unampapasa simba jike wakati ananjaa kwa kumbembeleza atulie chakula kinakuja.
[emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…