From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Kwanza nani kasema kuwa hicho ndio kipimo halisi? Kwa hoja zipi? Yani usionekane kukubalika mtaani halafu utuambie et kipimo cha kukubalika ni kwenye uchaguzi?

Uchaguzi ndio kipimo rasmi cha kukubalika kwa kiongozi wa kisiasa. Hizo nyingine ni hisia zako ambazo hatuzizuii. Kipimo kingine cha kukubalika ni kipi zaidi ya uchaguzi kwa mwanasiasa?
 
Ukiambiwa hao waliyokuwa wanaandika mazuri tu ni mashabiki zake au chawa waweke, je wewe unayeandika mabaya tu ni nani adui yake au unamchukia tu?

Walioandika mabaya yake kwani ni ya kutunga hadi useme ni uadui? Walioandika mabaya yake walikuwa wanamchukia maana sio lazima upendwe na kila mtu. Cha muhimu ndani ya hizo chuki, ubaya wake waliokuwa wanaandika ni ya kweli? Jikite hapo.
 
Hayo aliyojenga JK kwao ni nani kakuzuia kuyaandika? Tunakisubiri kwa hamu hicho kitabu, ww subiri utanunua cha kumsifia. Au unakonda?
 
Uchaguzi ndio kipimo rasmi cha kukubalika kwa kiongozi wa kisiasa. Hizo nyingine ni hisia zako ambazo hatuzizuii. Kipimo kingine cha kukubalika ni kipi zaidi ya uchaguzi kwa mwanasiasa?
Wewe unafurahisha kichizi yani, uchaguzi ni matokeo sijui hata kama unaelewa kukubalika ni nini?
 
Walioandika mabaya yake kwani ni ya kutunga hadi useme ni uadui? Walioandika mabaya yake walikuwa wanamchukia maana sio lazima upendwe na kila mtu. Cha muhimu ndani ya hizo chuki, ubaya wake waliokuwa wanaandika ni ya kweli? Jikite hapo.
Basi muwe mnakubali kuwa mnaongozwa na chuki kwenye hayo mnayoyaeleza, kwamba chuki ndio zenye kuwafanya mseme hayo mnayoyasema.
Tatizo lenu mkiambiwa hizo ni chuki mnakata na kudai mnasema ukweli.
 
You are totally missing my point. TOTALLY.

Nakwambia hivi, kumsema Magufuli ni kumsema Magufuli.

Mtu akimsema Magufuli, hajasema chochote kuhusu Samia.

Sasa, kwa nini watu wanachukulia kwamba kumsema Magufuli vibaya ni kuwa team Samia?

That is some disjointed logic ya Watanzania fulani ambao hawawezi kufikiri kidhahania, wanafikiri kwa mfumo wa "either or", kwamba you are either team Magufuli, or team Samia.

Kuna watu wengine hatuwakubali wote wawili, hata kama kuna afadhali hapa na pale kwa Samia.

Do you get my point?
 
Basi muwe mnakubali kuwa mnaongozwa na chuki kwenye hayo mnayoyaeleza, kwamba chuki ndio zenye kuwafanya mseme hayo mnayoyasema.
Tatizo lenu mkiambiwa hizo ni chuki mnakata na kudai mnasema ukweli.

Tulisema Iddy Amini ni dictator, kwanza kabisa ule ulikuwa ni ukweli, na pia tulikuwa tunamchukia. Je kuna sheria yoyote inayolazimisha kumpenda ili tujue sheria iliyokiukwa? Kama ni chuki yeye ndio alikuwa bingwa wa hilo, hivyo ukitaka kumtetea ujikite kwenye tabia yake ya chuki aliyokuwa anaionyesha.
 
Tindo bado hajaenda kumuona daktari wake mpaka leo
 
Kwahiyo aliogopa kuheshimu matokeo ya kukubalika kwake?!
Uchaguzi ni zaidi ya kukubalika tu, sasa sijajui unachotaka kusema ni kwamba Magufuli alifanya hivyo kwa sababu aliona wananchi hawamkubali?
 
Kama unakiri kuwa chuki ndio inafanya mueleze hayo mabaya tu basi hapo sina shida maana ndipo ilipokuwa hoja yangu.
 
President whispers from Chato "I'm the State"

Tunahitaji Katiba mpya ili tumpunguzie Rais Madaraka ya Kisultani.
 
Uchaguzi ni zaidi ya kukubalika tu, sasa sijajui unachotaka kusema ni kwamba Magufuli alifanya hivyo kwa sababu aliona wananchi hawamkubali?

Wanaomkubali walikuwepo na hakuna mwenye shida na hilo, ila alitaka kuonekana anakubalika kuliko uhalisia.
 
Kama unakiri kuwa chuki ndio inafanya mueleze hayo mabaya tu basi hapo sina shida maana ndipo ilipokuwa hoja yangu.
Kama yeye alivyokuwa anaonyesha chuki kwa wengine na kutumia madaraka yake vibaya dhidi yao, na wao ni haki yao kuweka ubaya wake hadharani. Hayo mazuri yake yaweke hadharani ww, na hata ukitaka tunga kitabu maana ni haki yako. Lakini usilazimishe watu wasiompenda kutokuweka ubaya wake hadharani.
 
Alishambuliwa na kutekwa, kuteswa na kuwagiwa tindikali mnamo Machi 2013 kipindi ambacho JPM hakuwa na mamlaka ya kushughulika naye lakini hausemi vibaya utawala uliopo ambao una kivuli cha kiongozi mstaafu aliyetawala Tanzania kati ya 2005-2015. Huyu mwenye miwani kwa maneno yake alitamka kwamba anamwogopa sana kanali Abdulahaman Kinana kwa sababu zake binafsi anazozijua. Hata afanyaje hawezi kujitokeza hadharani kumkosoa kwa vyovyote vile.
 
Wanaomkubali walikuwepo na hakuna mwenye shida na hilo, ila alitaka kuonekana anakubalika kuliko uhalisia.
Miaka yote ccm hulalamikiwa kila baada ya uchaguzi mkuu na ndio maana kumekuwa na kelele za uhitaji wa tume huru.
 
Mie sijakukataza au kukulazimisha kitu, sijui kwa nini mnakuwa mnahisi hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…