From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Kwanza nani kasema kuwa hicho ndio kipimo halisi? Kwa hoja zipi? Yani usionekane kukubalika mtaani halafu utuambie et kipimo cha kukubalika ni kwenye uchaguzi?

Uchaguzi ndio kipimo rasmi cha kukubalika kwa kiongozi wa kisiasa. Hizo nyingine ni hisia zako ambazo hatuzizuii. Kipimo kingine cha kukubalika ni kipi zaidi ya uchaguzi kwa mwanasiasa?
 
Ukiambiwa hao waliyokuwa wanaandika mazuri tu ni mashabiki zake au chawa waweke, je wewe unayeandika mabaya tu ni nani adui yake au unamchukia tu?

Walioandika mabaya yake kwani ni ya kutunga hadi useme ni uadui? Walioandika mabaya yake walikuwa wanamchukia maana sio lazima upendwe na kila mtu. Cha muhimu ndani ya hizo chuki, ubaya wake waliokuwa wanaandika ni ya kweli? Jikite hapo.
 
Kama ni wajibu na mtu alitimiza wajibu kwanini uandikwe sasa!!!
Hao wazee mataahira wenye mashavu kama ngano za maandazi wametoa kitabu kinachokosoa wajibu uliotimizwa chato,as if chato hakuna watu wanaostahili kutimiziwa haki ya kuwa na miundombinu.

Jk huyo hapo kajenga kwao vizuri sana wamefunika makalio yao,ila jpm imekuwa nongwa,kwanini unafiki kiwango hiki kutokwa kwa watu wazima??

By the way sio tatizo,wacha wawauzie hicho kitabu mazezeta waliowalenga labda wameona fulsa ya kupigia vihela kadhaa kupitia jpm.
Hayo aliyojenga JK kwao ni nani kakuzuia kuyaandika? Tunakisubiri kwa hamu hicho kitabu, ww subiri utanunua cha kumsifia. Au unakonda?
 
Uchaguzi ndio kipimo rasmi cha kukubalika kwa kiongozi wa kisiasa. Hizo nyingine ni hisia zako ambazo hatuzizuii. Kipimo kingine cha kukubalika ni kipi zaidi ya uchaguzi kwa mwanasiasa?
Wewe unafurahisha kichizi yani, uchaguzi ni matokeo sijui hata kama unaelewa kukubalika ni nini?
 
Walioandika mabaya yake kwani ni ya kutunga hadi useme ni uadui? Walioandika mabaya yake walikuwa wanamchukia maana sio lazima upendwe na kila mtu. Cha muhimu ndani ya hizo chuki, ubaya wake waliokuwa wanaandika ni ya kweli? Jikite hapo.
Basi muwe mnakubali kuwa mnaongozwa na chuki kwenye hayo mnayoyaeleza, kwamba chuki ndio zenye kuwafanya mseme hayo mnayoyasema.
Tatizo lenu mkiambiwa hizo ni chuki mnakata na kudai mnasema ukweli.
 
Huwezi muweka magufuli na samia eneo moja.

Hiyo ni dalili kwamba una ajenda chafu.
Kwa maelezo yenu magufuli alikandamiza demokrasia,samia anakandamiza demokrasia???
Magufuli alinunua ndege bila kuitisha vikao,samia amenunua hata kijiko billa kuwataarifu???
Sabaya,makonda na musiba walikuwa ni chawa wa magufuli vipi mama amewatumia???

Ukimsema magufuli wewe ni mnufaika wa utawala wa saaa period.leo kuna mambo kibao ya kipuuzi yanaendelea na yanazidi kuwa hovyo,hatuwezi kubali kupotezwa maboya na historia za mtu aliyekufa tayari.
You are totally missing my point. TOTALLY.

Nakwambia hivi, kumsema Magufuli ni kumsema Magufuli.

Mtu akimsema Magufuli, hajasema chochote kuhusu Samia.

Sasa, kwa nini watu wanachukulia kwamba kumsema Magufuli vibaya ni kuwa team Samia?

That is some disjointed logic ya Watanzania fulani ambao hawawezi kufikiri kidhahania, wanafikiri kwa mfumo wa "either or", kwamba you are either team Magufuli, or team Samia.

Kuna watu wengine hatuwakubali wote wawili, hata kama kuna afadhali hapa na pale kwa Samia.

Do you get my point?
 
Basi muwe mnakubali kuwa mnaongozwa na chuki kwenye hayo mnayoyaeleza, kwamba chuki ndio zenye kuwafanya mseme hayo mnayoyasema.
Tatizo lenu mkiambiwa hizo ni chuki mnakata na kudai mnasema ukweli.

Tulisema Iddy Amini ni dictator, kwanza kabisa ule ulikuwa ni ukweli, na pia tulikuwa tunamchukia. Je kuna sheria yoyote inayolazimisha kumpenda ili tujue sheria iliyokiukwa? Kama ni chuki yeye ndio alikuwa bingwa wa hilo, hivyo ukitaka kumtetea ujikite kwenye tabia yake ya chuki aliyokuwa anaionyesha.
 
Tindo bado hajaenda kumuona daktari wake mpaka leo
 
Kwahiyo aliogopa kuheshimu matokeo ya kukubalika kwake?!
Uchaguzi ni zaidi ya kukubalika tu, sasa sijajui unachotaka kusema ni kwamba Magufuli alifanya hivyo kwa sababu aliona wananchi hawamkubali?
 
Tulisema Iddy Amini ni dictator, kwanza kabisa ule ulikuwa ni ukweli, na pia tulikuwa tunamchukia. Je kuna sheria yoyote inayolazimisha kumpenda ili tujue sheria iliyokiukwa? Kama ni chuki yeye ndio alikuwa bingwa wa hilo, hivyo ukitaka kumtetea ujikite kwenye tabia yake ya chuki aliyokuwa anaionyesha.
Kama unakiri kuwa chuki ndio inafanya mueleze hayo mabaya tu basi hapo sina shida maana ndipo ilipokuwa hoja yangu.
 
President whispers from Chato "I'm the State"

Tunahitaji Katiba mpya ili tumpunguzie Rais Madaraka ya Kisultani.
 
Uchaguzi ni zaidi ya kukubalika tu, sasa sijajui unachotaka kusema ni kwamba Magufuli alifanya hivyo kwa sababu aliona wananchi hawamkubali?

Wanaomkubali walikuwepo na hakuna mwenye shida na hilo, ila alitaka kuonekana anakubalika kuliko uhalisia.
 
Kama unakiri kuwa chuki ndio inafanya mueleze hayo mabaya tu basi hapo sina shida maana ndipo ilipokuwa hoja yangu.
Kama yeye alivyokuwa anaonyesha chuki kwa wengine na kutumia madaraka yake vibaya dhidi yao, na wao ni haki yao kuweka ubaya wake hadharani. Hayo mazuri yake yaweke hadharani ww, na hata ukitaka tunga kitabu maana ni haki yako. Lakini usilazimishe watu wasiompenda kutokuweka ubaya wake hadharani.
 
Huyo mwenye miwani ni nani? Kwa nini anavaa miwani? Alianza kuvaa miwani lini na kwa nini?

Waliobaki wengine wote ni kabila moja, kabila gani? Is it a coincidence? Kwao kuna Airport ngapi University ngapi hospitali za rufaa ngapi CRDB ngapi pundamilia ngapi kaeneo kadogo tu? Kwa nini Chato na Lindi na Tandahimba na Katavi na Ikungi na Donge pasiwe na lami wala hospitali ya rufaa wala airport?

Kabaki mzinduzi wa kitabu je, anazindua tu au na yeye walau kaandika Preface? Kuna fununu kuwa Mgombea fulani wa 2020 alilala kwake kishoga wakati wa kampeni, je kuna ukweli wowote? Je ni shoga wa chini au wa juu?

Kikawaida vitabu kama hivi ni vyema pakawa na blurb inaeleza brief CV ya waandishi. Kama kuna anayejua atupe muonjo?
Alishambuliwa na kutekwa, kuteswa na kuwagiwa tindikali mnamo Machi 2013 kipindi ambacho JPM hakuwa na mamlaka ya kushughulika naye lakini hausemi vibaya utawala uliopo ambao una kivuli cha kiongozi mstaafu aliyetawala Tanzania kati ya 2005-2015. Huyu mwenye miwani kwa maneno yake alitamka kwamba anamwogopa sana kanali Abdulahaman Kinana kwa sababu zake binafsi anazozijua. Hata afanyaje hawezi kujitokeza hadharani kumkosoa kwa vyovyote vile.
 
Wanaomkubali walikuwepo na hakuna mwenye shida na hilo, ila alitaka kuonekana anakubalika kuliko uhalisia.
Miaka yote ccm hulalamikiwa kila baada ya uchaguzi mkuu na ndio maana kumekuwa na kelele za uhitaji wa tume huru.
 
Kama yeye alivyokuwa anaonyesha chuki kwa wengine na kutumia madaraka yake vibaya dhidi yao, na wao ni haki yao kuweka ubaya wake hadharani. Hayo mazuri yake yaweke hadharani ww, na hata ukitaka tunga kitabu maana ni haki yako. Lakini usilazimishe watu wasiompenda kutokuweka ubaya wake hadharani.
Mie sijakukataza au kukulazimisha kitu, sijui kwa nini mnakuwa mnahisi hivyo?
 
Back
Top Bottom