From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Hivi kuna anayemsifia bwana joni mwendazake! Kuna mtu anataka kulinganisha butiama na chato? Mkuranga na chato? Lupaso na chato? msoga na chato?
tuwe tu serious jamani! watanzania hatuna umakini wowote kwenye uchaguzi wa viongozi!
Huyu aliyeuza nyumba za serikali binafsi akiwa waziri na kugawia michepuko yake?
Huyu aliyediriki kuchepusha barabara ipitie nyumbani kwake chato akiwa waziri?
Tukubali kujifunza kwa maandiko haya tusije kujisahau tena
Tukachagua U4- Uthubutu - Ushupavu - Ubinafsi - Ukabila. Tuwachunguze watu tunaowapeleka ikulu!
Tulipigwa kiboko baada ya kutojali ule ubinafsi aliouonyesha akiwa waziri.
Nilikuwepo kwenye mojawapo ya kampeni zake sehemu ya biharamulo ambao aliwanyima barabara iliyokuwa ipitie kwao! walipomlalamikia aliwaambia hivi- "kunyeni mavi mubandike barabarani iwe lami"
Huko Kigamboni aliwaambiaje kuhusu kushusha bei ya nauli ya pantoni? "kama hamna hiyo hela pigeni mbizi"
Lugha za uhuni/ukibaka na akathibitisha kwenye uongozi wake kwa kutuwekea mavibaka kama kina Sabaya, Makonda nk.
Ansbert andikeni kitabu kingine kuhusu umuhimu wa hekima katika uongozi.
 
Ansbert Ngurumo ni shoga analiwa na mzungu anayemfadhili kuandika kitabu cha kuchafua viongozi wetu shupavu.
 
Ansbert Ngurumo ni shoga analiwa na mzungu anayemfadhili kuandika kitabu cha kuchafua viongozi wetu shupavu.
Kama kawaida kijibwa kimekuja kubweka kumfurahisha bosi wake kaburini, hakina hoja kimetukana kimefurahi
 
Inabidi watetezi wa huyu mtu wakapimwe akili
 
Wapi huko unakoishi wewe ambako wanamuabudu Samia? Ni Msoga au Zanzibar?
 
Humu ambako kila mtu anaweza kujifanya ni msomi na ana pesa? Humu ambako mtu mmoja ana ID kumi? Humu ambapo wengine wanaishi nje ya Tanzania?
 
Mchafu, hachafuliwi mara mbili.
Kwani si mtuache tunaoeleza maovu yake na nyie mshike yenu ya kumpamba
 
nao wamezidi sasa na ebola kwao wamrudie mungu sio bure iko sababu
 
Aachwe apumzike! Kama serikali ya SSH itaendelea kuruhusu udhalilishaji huu dhidi ya kiongozi mkuu wa nchi mzalendo aliyetangulia mbele za haki basi wajue wanawakwaza watu wengi sana.
waacheni watanzania wajue kila jambo kumhusu huyu jamaa, hii ndiyo njia pekee ya kujua nyayo zake - vpi na ule mzigo ulioenda China wameuandikamo? 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…