From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Sichangii chochote



 
Your ID is anonymous but i think i Know you
I really do.
 
Amen
 
Umepaniki? Ina maana hujui kuwa binadamu hujifunza kutokana na makosa? Lazima vizazi vyetu vijifunze kutokana na makosa tuliyofanya kama taifa Ili huko mbeleni yasijirudie
Na ndio pale ulipo ukinzani wa maono hayo Juu. Hayati naye alitaka tuepuke na makosa waliyofanya wengine na kutuachia Wazungu watugalagase na kutukanyaga kanyaga. Alitaka vizazi vinvyokuja kujali mustakabali mzima wa Mwafrika na fikra zake na Rasilimali zake. Tumejifunza au niseme nimejifunza kuwa Inawezekana kabisa kuondokana na fikra potofu kuwa sisi waafrika ni masikini na kuweza kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa Nchi dhidi ya mabeberu.
 
Title ya kitabu ni nzuri sana, ila ingalinoga zaidi kama ingalisomeka kama

"I am the State - Watch It"
 
Nani aliwaambia Watz wanahitaji au wanapenda kusoma vitabu,,, wanaume wazima wanashindana na Marehemu Mwanaume mwenzao,,,ubaya Au Uzuri wa Hayati Magufuli hachafuki kirahisi rahisi,,,Ana miaka miwili amepumzika zake lakini watu wanaweweseka vibaya mnoo,,,Wangefanya yao tuu waachane na Chifu kwa kuwa hata wafanye nini haibadilishi kitu jamaa alijua namna ya kuishi mioyoni mwa watz waliowengi licha ya mapungufu yake lakini ana Mema yake na mazuri yake Mengi mnoo!!!
 
Bora magufuli kuliko Samia na kikwete waliitapanya na wanaitapanya nchi kuliko ,hao wanaoandika hayo machapisho ya kuponda magufuli ni agents of blackmailed colonialists wanaitapanya nchi kikweli kweli kwanini Leo na isiwe mwaka jana acheni unafiki makuadi wa mkoloni mweusi anayetapanya Mali za umma
 
Umempikia mumeo karimati leo?
 
Hayatengeneze kwaninkaja kuishi milele hps duniani wapuuzi kma magu ndio walijua wataishi milele wakaona watuibie
Statement za kuchoka na kuwa hopeless.Kuna watu takataka Kama Bagonza na wenzake wapumbavu ,wasio na uwezo wowote wa kusaidia nchi,kaz kutengeneza issue za kijinga .Magufuli atabaki the best president.Mtu mwenye akili nyingi.Sio wajinga na wapumbavu Kama Bagonza.Mavi kunuka.
 
Hivi toka muanze kuanika huo uchafu bado hamjaumaliza au mnarudia yaleyale na mmefanikiwa kiasi gani kwenye lengo lenu hadi sasa au mapambano yanaendelea?
Kufanikiwa kupi tena wakati keshaoza. Hivi hata asipochafuka ana impact Gani yaani upinzani au CCM ya Samia Wana hasara Gani?

2025 ni Lissu vs Samia ambao wote ni anti JPM so no matter achafuke or abaki msafi Hana impact.
 
Ule uchafu haishi maana sio wa kutunga. Tumefanikiwa kuweka rekodi sawa kuwa Magu hakuwa kiongozi, bali shetani kwenye sura ya binadamu.
Umeweka rekodi sawa wapi sasa mkuu maana hadi sasa huko mtaani bado watu wanamshabikia Magufuli sasa ingekuwa mmeweka rekodi sawa si tungeona athari zake. Labda uniambia bado mnapambana kuweka hiyo rekodi ila bado hamjafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…