Hahaha bado mda gani mpira uishe?Kafunga
Dumbia katupiaDombia nae kafunga kwani?
Aisee! Leo hatulali Mtani.Mtaniiii, dumbia katupia hukuuu
Streika la boliAisee! Leo hatulali Mtani.
Kila tutakapopita habari itakuwa ni Dumbia.
Hahaha utopolo wana bahati dumbia alikua atoe mikosi kwao😅Dumbia katupia
Kwani kapata la pili? 😃Doumbiaaa atafunga sana wazee😁