Haya ngoja tuwaone na nyie utopoloni mtafanyajeKitumbua kimeingia mchanga.
Yaani goli moja limeyazima yale yote sita. π
Mtani mekumiss. Haya za kupotea?Haya ngoja tuwaone na nyie utopoloni mtafanyaje
Tatizo mbunye zenyewe ha,ishawishi kufunga goli nyingiWanaume mnaoshangilia magoli ya mpira, mngekua na nyie mnafunga kama hayo ndani ya ndoa zenu kusingekua na shida..!!
Usijali leo wanapokea kama zile zilizopita.Haya ngoja tuwaone na nyie utopoloni mtafanyaje
Upoooo nilikuwa namuangalia doumbia hapa naona leo simba kacheza na mgonjwa kitandani...anajipigia tuuMtani mekumiss. Haya za kupotea?
Uzima upo?
Vibamia na nguvu za kuchaji ndo zinashawishi?Tatizo mbunye zenyewe ha,ishawishi kufunga goli nyingi
Ila doumbia kafungaPole. π
Sema wanalazimishwa kufanya makosaMabeki wanafanya makosa daaa
la ugenini au la nyumbani? πGooooooooo! De Agosto tumepata goli hapa dakika ya 90 π₯π₯π₯
Doumbia 2Nini?
Unachekesha wewe jamaaGooooooooo! De Agosto tumepata goli hapa dakika ya 90 π₯π₯π₯
Timu imejipata aisee. Hakuna anayetamani kukutana na hicho kikosiππ Yoyote aje dozi ni ileilee
Leta timu yako bwasheeHakika hapa hamna timu mpaka doumbia kafunga.
Mgumba kapata mimba mji wote u.ejaa mate π€£π€£π€£π€£