FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France

Viva Madrid...ila mane atatuumiza leo hata Kama siyo kwa kufunga goli, pamoja na Thiago atatuchafulia katikati kwetu leo...tusubiri dk 90.
 
Baada ya simba kufakisha sasa tumaini lililobaki ni kwa madrid tu
 
Fainali tamu sana , ubaya niko porini
 
Baada ya match tu, mkishazima taa tu baada ya Lisaa limoja hivi, panyaroad hawa hapa wanavunja dirisha na kusepa na flat screen
Wana huo uwezo wa kufika kwenye five star hotel yangu Nassau Bahamas 50k $ per night?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…