Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
2070Hivi Arsenal lini mtaingia kwenye record za kushinda hili taji?
Aha bwana ww mbona mbali hivo2070
Wanaangalia royal tour kwanzaKuna tatizo gani mbona wamesogeza dakika 15 mbele?
SawaWanaangalia royal tour kwanza
Ticket zilikuwa zinauzwa pesa kiasi gani?Game itaanza saa 4:15 usiku kutokana na foleni kubwa iliyosababisha watu kuchelewa kuingia uwanjani
Muda umesogezwa tena mpak saa 4:30Game itaanza saa 4:15 usiku kutokana na foleni kubwa iliyosababisha watu kuchelewa kuingia uwanjani
ingekuwa wale majamaa wa mchana sahizi mmoja basi linatimua vumbiMuda umesogezwa tena mpak saa 4:30
Ndio mpaka 4 nanusuWamesogeza tena?????