FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

Huyu kocha kuendekeza waswahili kutatuponza, miaka yote waswahili walitukwamisha, kwanini hakuwaita diaspora awamu hii, kama timu ndo inacheza hivi
Maagizo ya tff hawana pesa za kuwagharamia safari.
 
Mudathir Yahaya = Zanzibar Finest

Mohamed Hussein = Tanganyika Finest

Feisal Salum= Tanzania Finest.
 
Soka hamuliwezi, ila mkiambiwa muwekeze kwenye michezo mnayoiweza mnakaza fuvu. Mataifa yenye akili yalishatambua yana vipaji gani na ndo walikowekeza, hawahangaiki na soka wasiloliweza.

1.Kenya, Ethiopia na Jamaika - Riadha
2.USA na sasa South Sudan - Basketball
3.South Africa na India - Cricket

Tanzania mnashindwa nini kuwekeza kwenye Boxing ambako mnatisha Afrika yote? Mbona Rashid Matumla na wenzake walishawaletea mikanda mingi ya Africa ila kwenye soka hamjawahi kuleta kombe kubwa? Shida yenu ni nini?
 
tuwekeze kwenye ngono tuu basii tunajichelewesha wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…