FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

Taifa stars haina muunganiko😆 anzisheni project ambayo hawa hawatacheza watabaki kwenye vilabu vyao kuzeni madogo special kwa timu ya taifa.
Au badilisha wachezaji wa Yanga wawe wa taifa😅
 
Ila bongo bado sana,hivi Kibu hayupo humu yaani hata hamsha hamsha.Ila Msuva kuachwa kocha alichemka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…