Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Seriously ukiangalia vile tu wanacheza na hali ya kisiasa nchini kwao inatia aibu.Tanzania ligi yetu inabebwa na wachezaji wageni ila tuna average player wengi sana wazawa na ndio maana unakuta wachezaji wetu wengi soka la nje linawashinda
Wanashushia na chai ya maziwa jionii hii 😂😁😁😁😁😁Sure mkuu
Wanashushia na chai ya maziwa jionii hii 😂😁😁😁😁😁Sure mkuu
Kombe lipi Hemed Morocco amewahi kuchukua zaidi ya challenge?Tanzania ligi yetu inabebwa na wachezaji wageni ila tuna average player wengi sana wazawa na ndio maana unakuta wachezaji wetu wengi soka la nje linawashinda
Kabisa afu nimepishana nae Leo na Subaru yake nyeupe 😂😁😁😁😁😁😂😂😂 Cookie kuna mahali analewa.
Maramba mawili 🤣🤣🤣
Umeua 😂😂Apa sasa aingie aziz k
TFF ya Wallace Karia ni tatizo kubwa na sugu kwa timu zetu za taifa. Kocha ndio tatizo sugu kwenye hizi timu.Ila timu yetu ya Taifa bado aisee
Napikaa ntakupigia 😹Evelyn Salt pokea simu😁
Huyo Feisal unamuonea wapi wakati Taifa stars inabutua tu mpira uende mbele huku tukiwa tumezidiwa. Feisal anaruka ruka tuila Fei toto mpira anajua sana kwenye ligi yetu sjaona Advance middle anajeia ball kama feisal
Kelele za vyombo vya habari ndio zinatupumbaza ila ki soka bado sana wewe ona watoto wa Ethiopia wanavyocheza mpira unaoleweka kana kwamba wamepata mafunzo makubwa ya soka kwenye academy za kisasaSeriously ukiangalia vile tu wanacheza na hali ya kisiasa nchini kwao inatia aibu.
Wachezaji wao wako na football IQ, wanauelewa mchezo, wachezaji wetu wanarukaruka.
Kwani Ethiopia wana academy za kimataifa kwao?
Inafikirisha
A least akishika mpira unaona Kuna kitu anacho tofauti nao wengine wanakimbia kimbia tuHuyo Feisal unamuonea wapi wakati Taifa stars inabutua tu mpira uende mbele huku tukiwa tumezidiwa. Feisal anaruka ruka tu