OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Namba 8 na 10 mandazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha hakuna kitu, halafu mnoga kwa nini hakuitwa?Kama taifa tunasafari kubwa sana ya kisoka Kwa kweli hii mifumo ya kuokota wachezaji mitaani afu wanakua tegemezi Kwa taifa itatuchukua mda mrefu sana kupiga atua kubwa kisoka
Bro unajua nilipoBro uko wapiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣
Nmecheka na swali lako 😂
Tumewatema wooote wakati ndiyo kama walileta mwamko fulani. Ni kama tumerudi nyuma hivi. Tunahitaji wachezaji wa nje hasa pale safu ya mbele, na hapa siongelei Samatta wala MsuvaHuyu kocha kuendekeza waswahili kutatuponza, miaka yote waswahili walitukwamisha, kwanini hakuwaita diaspora awamu hii, kama timu ndo inacheza hivi
Litangazaji la hovyo kabisa!Sauti ya ibwe
Hata Waswahili wanaweza. Tatizo naloliona kocha kashindwa kupanga namba.Huyu kocha kuendekeza waswahili kutatuponza, miaka yote waswahili walitukwamisha, kwanini hakuwaita diaspora awamu hii, kama timu ndo inacheza hivi
Kwani hadi sasa Wydad wamemtengea kiasi gani kama sio zaidi ya bilion moja? Sasa wao inamaana hawaoni kitu kwa Mzize?vyura huwa wanafikiri bilioni ni maandazi ya bharesa
Itakua morocco ndivyo afundishavyoNamba nane na 7 wanachojua wao ni back pass tu mwanzo mwisho kila wakipata mpira lazima ageuke apige kwa mabeki
Mzize anavyocheza afadhali mara mi kuliko samataLeo umuhimu wa samata unaonekana
Mzize atafanya nini ikiwa viungo wanarukaruka tu!?..huyo balua na lusajo ni bure kabisaMzize anavyocheza afadhali mara mi kuliko samata
Limekazana mzinze wakati pameandikwa mzizeLitangazaji la hovyo kabisa!
Msiwe mnakomalia makocha wazawa, hawaweziKila la kheri Taifa stars