FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

Namba nane na 7 wanachojua wao ni back pass tu mwanzo mwisho kila wakipata mpira lazima ageuke apige kwa mabeki
 
Huyu kocha kuendekeza waswahili kutatuponza, miaka yote waswahili walitukwamisha, kwanini hakuwaita diaspora awamu hii, kama timu ndo inacheza hivi
Tumewatema wooote wakati ndiyo kama walileta mwamko fulani. Ni kama tumerudi nyuma hivi. Tunahitaji wachezaji wa nje hasa pale safu ya mbele, na hapa siongelei Samatta wala Msuva
 
Huyu kocha kuendekeza waswahili kutatuponza, miaka yote waswahili walitukwamisha, kwanini hakuwaita diaspora awamu hii, kama timu ndo inacheza hivi
Hata Waswahili wanaweza. Tatizo naloliona kocha kashindwa kupanga namba.

Timu haichezi kwa sababu viungo wachezeshaji wamekwama. Mzize hawezi kufunga kwa staili hii.

Hapo Himid Mao anafanya nini hapo kati kati badala ya Mudathiri.
 
Nawaombea waethiopia waishinde hii inayojiita taifa staa.
 
Back
Top Bottom