princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Haya wazee wa Lawama uwanja ni wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ligi ziludi tuu tupate burudaniHaya wazee wa Lawama uwanja ni wenu
hawa watoto wanachezea mpira wa hirizi. eti wydad wanamtaka. bongo vipaji vyao vinaishia mchangani soka la juu ni wanacheza bolingo nangaiMzize Ku dribble hawezi, nafasi kibao anapoteza halafu unampa dk 90 Kweli.?
zimebaki lawama tuu sasaKama hatuwezi kuwafunga Ethiopia,tena tukiwa nyumbani......tutamfunga nani sasa
ungelipia Azam au dstvNaangalia kupitia TVE, picha quality mbovu,sauti quality mbovu. Picha ina stuck kama simu ya kichina.
Bora Mzize hata anapambana, hao wengine huko mbele hovyooo.Mzize Ku dribble hawezi, nafasi kibao anapoteza halafu unampa dk 90 Kweli.?
Bora Mzize hata anapambana, hao wengine huko mbele hovyooo.Mzize Ku dribble hawezi, nafasi kibao anapoteza halafu unampa dk 90 Kweli.?
Halafu Yanga wanakataa kupokea bilioni 2 aondoke!Mzize Ku dribble hawezi, nafasi kibao anapoteza halafu unampa dk 90 Kweli.?
tuanze kwanza na wazee wa hamasa, hawa ndio wanaotutia gundu.Haya wazee wa Lawama uwanja ni wenu
Leo umepiga sana hela [emoji2957]Niger win odd 4
Taifa stars gg odds 2.4
Libya win odds 1.9
Halafu mseme eti muhindi hagawi hela za bure [emoji16][emoji16][emoji16] (ukiliwa usinilaumu)
NdioLeo umepiga sana hela [emoji2957]