FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

Haya wazee wa Lawama uwanja ni wenu
tuanze kwanza na wazee wa hamasa, hawa ndio wanaotutia gundu.
pili kocha...inakuwaje counter attack watu wanarudi nyuma
tatu mtangazaji, yeye full time kiswanglish hadi wachezaji ndani ya uwanja wanachanganyikiwa...
nne, caf kwa nini mechi saa moja usiku ipigwe saa tisa mchana watu wapate tabu uwanjani.
 
Back
Top Bottom