FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

Hemed moroko, Jamuhuri kihwelo, Juma Mgunda, Amri Kiemba na wote niliowatambua Leo, unganisha uwezo wao wote wameshindwa kuifunga under dog Ethiopia wakiwa nyumbani.

Afcon zote 2 za karibuni tumevushwa na foreign couches.

Kuwapa majukumu hawa ni kuturudidha kulekule kwa akina mziray, kayuni, kinanda, nk

Ni makosa kuteua hawa wazawa simply kwasababu senegal Ghana cameroun wameteua wazawa..

Profile ya kocha aliyecheza professional football duniani haiwezi kuwa kwny mizani sawa na kocha mzawa wa kienyeji...hawa akina Julio wabaki kuwa wakarimani tuu inatosha..usiku mwema
 
Mie nauliza tu....Kigezo Gani Kimetumika Kumteua Moroko kuwa Kocha Mkuu.!?

Matumaini ya WaTz Zaidi ya Million 62 kuyaweka mikononi Kwa Huyu Bwana ambaye ameshawahi kuwa Kocha Wa Timu Kadhaa hapa Tz Lkn hakuna hata timu Moja Ya Mfano ambayo anaweza kusema kwamba Mimi Moroko niliwahi kuifundisha timu Fulani na Mafanikio ndo Haya ONENI..!

Pale, Tumepigwa..Chonde Chonde tusikubali Kila Kitu....!
 
Moroko siyo kocha; anaonekana kama ana hasira sana na dharau kiasi cha kushindwa kuvuta attention ya wachezaji.
 
Mie nauliza tu....Kigezo Gani Kimetumika Kumteua Moroko kuwa Kocha Mkuu.!?

Matumaini ya WaTz Zaidi ya Million 62 kuyaweka mikononi Kwa Huyu Bwana ambaye ameshawahi kuwa Kocha Wa Timu Kadhaa hapa Tz Lkn hakuna hata timu Moja Ya Mfano ambayo anaweza kusema kwamba Mimi Moroko niliwahi kuifundisha timu Fulani na Mafanikio ndo Haya ONENI..!

Pale, Tumepigwa..Chonde Chonde tusikubali Kila Kitu....!
Huogopi meno yanayotafuna mirungi...!!
 
Halafu Yanga wanakataa kupokea bilioni 2 aondoke!
Mzize kwenye timu yake anacheza vizuri kwa vile kuna wanaojua kumchezesha! Sasa leo huku li middle la kumchezesha lilikuwa linafanya nini humo?
 
Wachezaji walioingia baadae walitakiwa kuanza kipindi cha kwanza.
Bila kufichaficha Kibabage na Balua walitakiwa kutolewa dakika ya Tano tu ya kipindi cha kwanza.
 
Back
Top Bottom