RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Dstv wanaonesha kupitia TVEungelipia Azam au dstv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dstv wanaonesha kupitia TVEungelipia Azam au dstv
hata afcon walionesha kwa staili hiyo hiyo aiseeNaangalia kupitia TVE, picha quality mbovu,sauti quality mbovu. Picha ina stuck kama simu ya kichina.
MPUHMULELOAzam sports1, saa moja jioni.
Saa 10 jioni ni Kenya vs Zimbabwe kwa kina Prince Nkumbelele Dube. Same channel.
Huogopi meno yanayotafuna mirungi...!!Mie nauliza tu....Kigezo Gani Kimetumika Kumteua Moroko kuwa Kocha Mkuu.!?
Matumaini ya WaTz Zaidi ya Million 62 kuyaweka mikononi Kwa Huyu Bwana ambaye ameshawahi kuwa Kocha Wa Timu Kadhaa hapa Tz Lkn hakuna hata timu Moja Ya Mfano ambayo anaweza kusema kwamba Mimi Moroko niliwahi kuifundisha timu Fulani na Mafanikio ndo Haya ONENI..!
Pale, Tumepigwa..Chonde Chonde tusikubali Kila Kitu....!
Na kweli hatukupata kitu! Nchi kama nchi hatuna timu!Kocha Fanya mabadiliko hapa tukicheza hatupati kitu
Basi Karia amevuna alichopanda!Maagizo ya tff hawana pesa za kuwagharamia safari.
Litangazaji likikuwa limepooza kama mpira ulivyokuwa! Halina sauti ya kuvuta kwenye kutangaza mpira! Bora hata wangempa Ayubu HinjoMtangazaji anamkosi
Huna akili mkuu, yaani Taifa stars ndiyo ya kubetia?hawa walishasepa na 50k yangu wapuuzi. ngoja nikalale tuu
Sasa atachezaje kama amekosa wa kumchezesha?Streka la Wydad Casablanca 😀
Mzize kwenye timu yake anacheza vizuri kwa vile kuna wanaojua kumchezesha! Sasa leo huku li middle la kumchezesha lilikuwa linafanya nini humo?Halafu Yanga wanakataa kupokea bilioni 2 aondoke!