FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

Freekick ya kichovu hiyo mpira umebabatiza ukuta
 
Tunaotumia Azam Max kuna kunata nata kwa picha.

Ni kwangu tu au hata huko kwenu nyumbani?
 
Timu kutoka nje ya nchi ina tumia uwanja wetu kuchezea super league alafu kuna mijitu ina jiita mikubwa ipo tu inaangalia kwenye TV
Kesho tupo hapo kumbandua mume wenu Azam
 
Mashabiki wa yanga kwa kupenda vya bure, huwezi amini wamekaribia kujaza uwanja hapa
Akili za mikia kutwa wanaiota YANGA. Ukilala YANGA,ukiamka YANGA. Mashabiki wa YANGA hawana time,wamewaachia umbumbumbu wenu,muendelee kupuyanga nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…