FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

Wale tunawapiga kamoja tu wala sio mengi sana ...sisi ndo tunapeperusha bendela ya tz sio utopolo wanatoa mwiko tu huko nyuma
 
Nguvu moja
JamiiForums-1498658852_480x270.jpg
 
Timu mbaya Angola ni Petro Atletico, hawa jamaa hawafai, wanaupiga mwingi sana, lakini kwa hawa Primier de Agosto, Simba SC wanaweza.

Muhimu waache ule ushamba wa kushangaa viwanja vya ugenini matokeo yake wanaruhusu magoli mengi ya kizembe, game management inahitajika, senior players kina Manula, Shabalala, Chama na experienced kina Okrah kazi kwao wasituangushe.
 
Screenshot_20221009-103712_Chrome.jpg

Petro wanatisha aisee
 
Back
Top Bottom