Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo bora sana hayo kwa simba. Kazi inakuja kumalizwa hapa.2-1 Friends of Agosto tujuane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simba SC Mnyama Mkali Mwituni [emoji881]wala hatuna uwezo wowote yaani, lakini kila tufanyalo uwanjani tunamuachia Mungu.Uwezekano wa Simba kushinda ugenini ni mdogo, sana sana atapata goal moja
Amina! 🙏Mpira ni uwekezaji, Leo tutashuhudia uwekezaji wa Simba, Nawaombea wapate kile wanacho stahili, wasizidishiwe Wala wasipunguziwe.
goli moja ndo ushindi huo.Uwezekano wa Simba kushinda ugenini ni mdogo, sana sana atapata goal moja
Umemsahau GENTAMICINGhazwat ,Shunie,Makiwendo ,njaakalihatari Proved ,Mshana Jr,OKW BOBAN SUNZU,Scars,Nyamizi Na wana Lunyasi wotee ambao ID nimezisahau kila la heri
Simba Nguvu moja
Unstoppable
Wewe utakuwa Utopolo Lady bila shaka! 😊😊😊2-1 Friends of Agosto tujuane 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Timu mbaya Angola ni Petro Atletico, hawa jamaa hawafai, wanaupiga mwingi sana, lakini kwa hawa Primier de Agosto, Simba SC wanaweza.
Muhimu waache ule ushamba wa kushangaa viwanja vya ugenini matokeo yake wanaruhusu magoli mengi ya kizembe, game management inahitajika, senior players kina Manula, Shabalala, Chama na experienced kina Okrah kazi kwao wasituangushe.
Mungu Ibariki SSC....Ghazwat ,Shunie,Makiwendo ,njaakalihatari Proved ,Mshana Jr,OKW BOBAN SUNZU,Scars,Nyamizi Na wana Lunyasi wotee ambao ID nimezisahau kila la heri
Simba Nguvu moja
Unstoppable
Huyo huwa hachangii uzi wowote wanaoanzisha wana lunyasi wengineUmemsahau GENTAMICIN