FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰

🏆 #CAFCL
⚽️ Al Ahly FC🆚Young Africans SC
📆 01.03.2024
🏟 Cairo International
🕖 6PM🇪🇬 7PM🇹🇿

TimuYaWananchi
DaimaMbeleNyumaMwiko

Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii
Kila la kheri Yanga SC

20240301_173952.jpg

Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Ahly FC
20240301_180843.jpg
Mpira umeanza

Dakika ya 5
0-0

Dakika ya 10
0-0

Dakika ya 38
Yanga SC wanapata Kona

Dakika ya 40
0-0

Dakika ya 41
Pacomeeee anakosa goli la wazi

Dakika ya 45 +3
Halftime


20240301_195114.jpg
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 46
El Shahat goal Al ahly wanapata goli hapa

Dakika ya 54
Al ahly 1-0 Yanga SC 0

Dakika ya 63
Al ahly 1-0Yanga Sc

Dakika ya 71
Yanga SC wanafanya mabadiliko anatoka lomalisa anaingia kibabage na anatoka aucho anaingia sureboy

Dakika ya 79
Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 87
Al ahly 1-0 Yanga SC

Dakika ya 90+6
---
CAF: Timu ya Yanga imekamilisha Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kupoteza kwa goli 1-0 ikiwa ugenini dhidi ya Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Kundi D

Goli pekee limefungwa na Hussein El Shabat dakika ya 46, hivyo kuiwezesha Al Ahly kufikisha pointi 12 ikifuatiwa na Yanga yenye alama 8, sawa na CR Belouizdad ambayo imemaliza Makundi kwa kuifunga Medeama (4) magoli 3-0.

20240301_210015.jpg
 
🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰

🏆 #CAFCL
⚽️ Al Ahly🆚Young Africans
📆 01.03.2024
🏟 AI salaam stadium
🕖 1:00 Usiku

Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii
Kila la kheri Yanga SC
Kila la kheri mkishinda mnaongoza kundi
 
𝐋𝐈𝐕𝐄 𝐅𝐑𝐎𝐌 𝐂𝐀𝐈𝐑𝐎, 𝐄𝐆𝐘𝐏𝐓🇪🇬

𝐁𝐈𝐆 screen iko tayari kwa ajili yako Mwananchi 𝐌𝐚𝐤𝐚𝐨 𝐌𝐚𝐤𝐮𝐮 𝐲𝐚 𝐊𝐥𝐚𝐛𝐮 𝐉𝐚𝐧𝐠𝐰𝐚𝐧𝐢 kushuhudia mchezo wetu wa Kimataifa dhidi ya Al Ahly FC utakaochezwa kesho majira ya saa 1:00 usiku🇹🇿

Mwananchi usikose burudani na surprise kibao kuanzia saa 6:00 mchana…. Hii siyo ya kukosa🔰💪🏽
20240301_002711.jpg
 
Back
Top Bottom