Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Kila la kheri jwaneng Galaxy,Kila la kheri Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeeh 😀🙌Yanga hii siyo ya kufungwa 3 bila. Jiandae kuumia tu maana Yanga tutashinda
Naunga mkono hojaKila la kheri jwaneng Galaxy,Kila la kheri Yanga
View attachment 2920757
Kolo katika ubora wa umbumbumbu wako..!!Yanga atapigwa 3:0.
Tusichanganye viwango na mihemko.
Kuwa makini. Maana kuna watu tuliwafunga 5-1 sijui unasemaje kuhusu kiwango chao.Yanga atapigwa 3:0.
Tusichanganye viwango na mihemko.