FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

"Al Ahly ni kibonde wetu tutampiga mkono wa nyani.." alisikika mlevi mmoja akibwabwaja baada ya kumaliza chupa ya 7 ya banana wine huku Kibororoni ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kama nyinyi SIMBA tuliwafunga 5-1, iweje Ahly? Sema zinakutana timu bingwa kweli sio nyinyi mulioshika nafasi za pili kwenye ligi zenu. Alafu kumbuka hujafuzu
 
Yanga timu ya wananchi, Simba ina mwenyewe
Mazuzu hamjui kuwa MO na GSM ni pipa na mfuniko.

Mnaimba taarabu na kushangilia "Simba imeuzwa ... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mnaimba taarabu na kucheza ngoma ya mdundiko "........ Yanga ni timu ya wananchi.... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Wananchi mna hela? Mngekuwa na hela mngemiliki uwanja wenu na kituo cha TV kama walivyo wauza ukwaju wa Chamazi.

Mnasubiri "NDIYO" ya GSM kujenga uwanja ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

..... Karaghabaho.
 
Tukaze buti best, bado hatujalipa deni la mnyama, alitupigaga 6 - 0 hatujawahi zirudisha, labda tujitahidi mwezi huu tulipe hilo deni kama tunao mtaji wa kutosha ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Tuna ongelea current issues wewe unaleta mambo ya zama za giza.
Mbona nyie wanaSIMBA mmepagawa sana? Munaogopa tukiongoza kundi?
 
Mazuzu hamjui kuwa MO na GSM ni pipa na mfuniko.

Mnaimba taarabu na kushangilia "Simba imeuzwa ... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mnaimba taarabu na kucheza ngoma ya mdundiko "........ Yanga ni timu ya wananchi.... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Wananchi mna hela? Mngekuwa na hela mngemiliki uwanja wenu na kituo cha TV kama walivyo wauza ukwaju wa Chamazi.

Mnasubiri "NDIYO" ya GSM kujenga uwanja ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

..... Karaghabaho.
Wana SIMBA wote mali ya MO. Hata wewe Kambi ya Fisi ni mali ya MO?
 
Tuna ongelea current issues
Current issues huwa zinanoga sana tunapopitia mafaili ya zama za kale.

Hilo suala la kulipa deni hatuwezi kulikwepa, dawa ya deni ni kulipa.

Tujitahidi tu next match tulipe deni.

Hizo tambo za kuwapiga 5-1 hazitatufanya tufutiwe deni la kupigwa 6-0.

Acha tujaribu mwaka huu tulipe deni.

#daimambelenyumamwiko.
 
Hayo ni madhara ya kumilikiwa na mtu, tena mbaya zaidi umilikiwe na mwanaume mwenzio.
 
Hayo ni madhara ya kumilikiwa na mtu, tena mbaya zaidi umilikiwe na mwanaume mwenzio.
Kamilikiwa rais wako sembuse na wewe?

Unamilikiwa bila chenga, asiye milikiwa ana Pasa zake na timu yake anayoigharamikia.

Sasa wewe ndugu pangu pakavu tia mchuzi unaimiliki timu ipi kama si wewe kumilikuwa na kijana wa Masaki.

Nyani halionagi kundu lake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom