Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kuna watu wapo Kibaigwa na wengine wapo Tarime Ila huwaambii kitu kuhusu Arsenal utadhani wao ndio wamiliki wa hiyo timu😂😂KWANZA ILE TIMU HAIWAHUSU MNAJIPENDEKEZA TU.
MUACHENI MO DEWJ AFANYE ANAVYOTAKA [emoji41]
Sasa basi......... 😂😂
Kuna wajinga bongo wapo wapo kila pahali wanaamini kuwa Yanga ni timu ya wananchi Ila kila timu inapohitaji pesa hukimbilia kwa GSM kuomba hela, na hivi sasa wapo katika mchakato wa kupata hela za kujenga kiwanja Ila wanasubiri yule msela GSM dole kwanza.
Nikwambie kitu we babu.... ".. Hakuna timu inayofanya vizuri duniani pasipo kumilikiwa na mtu mwenye hela.
Kwa kukusaidia tu uondokane na uzuzu ni kwamba Simba inamilikiwa na mtu mwenye hela, hali kadhalika Yanga nayo inamilikiwa 😂😂😂
MO na GSM ni pipa na mfuniko, tulia utafute hela na wewe umiliki timu yako.