vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Asiyekosekana kwenye first eleven kwenye ushindi wa goli nne ni Max peke yake ambaye ni majeruhi na nafasi yake kachukua GuedeMmh kikosi hiko si cha spidi mpira utakuwa wa kawaida..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asiyekosekana kwenye first eleven kwenye ushindi wa goli nne ni Max peke yake ambaye ni majeruhi na nafasi yake kachukua GuedeMmh kikosi hiko si cha spidi mpira utakuwa wa kawaida..
Usilitaje bure jina la Mungu wakoMungu wewe ni mwema nakuomba Mungu hawa utopolo wapigwe goli nyingi..... Hakika umesikia kilio changu....
Nzengeli ni mgonjwa anaumwa mkonoNzengeli na ocra wangeanza hapo pangechimbika..
Naunga mkono hoja.Msaada wa link nipo safarini
Mo anauzi sana
Kaka karibu Yanga SCMo anauzi sana
Keshapagawa huyoMo anahusikaje hapa
Mo anajua kusimanga balaa, kuafadhili MAKOLO ni kupoteza pesa😂Mo anauzi sana