FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Uwanja makelele hawa waarabu wanashangilia ila uwanja haujajaa kabisa viti viko vitupu
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi katika kuzipambania points tatu za kufanya tuongoze kundi.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Back
Top Bottom