FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Hii faulo ya bahati mbaya ngoja tuone Aucho atakula kadi au
 
Yanga wameenda Misri na kibuti sana wakidai kiwango chao kiko juu sana.

Aliye karibu awaambie Yanga kuwa CR Belouzdad ni timu dhaifu sana, hivyo kuipiga goli 4 wasivimbishe vichwa na kupandiaha mabega.

Wakishinda mechi ya leo situmii tena Jamiiforums.
 
𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰

🏆 #CAFCL
⚽️ Al Ahly FC🆚Young Africans SC
📆 01.03.2024
🏟 Cairo International
🕖 6PM🇪🇬 7PM🇹🇿

TimuYaWananchi
DaimaMbeleNyumaMwiko

Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii
Kila la kheri Yanga SC

View attachment 2921581
Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Ahly FCView attachment 2921608
Sisi umeme umekatwa tangu saa 11 jioni mpaka muda huu CCM woye
 
Back
Top Bottom