Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ananguvu nyingi sana. Akumbuke waarabu wanadeka na kudekezwa. Atakula Yellow asilokuwa makini.Aucho andhani anacheza na marefa wa TFF
Duh poleni sanaSisi umeme umekatwa tangu saa 11 jioni mpaka muda huu CCM woye
Haijalishi Man City imenunuliwa na mwarabu au muingereza ... cha muhimu kwa mashabiki ni timu kufanya vizuriYaani simba ishauzwa washabiki wamebaki wanakatishwa viuno kwenye nwendo kasi na wanatumwa kuvunja NAZI tu😁😁
OKW BOBAN SUNZU
Scars
Acha hizoYaani simba ishauzwa washabiki wamebaki wanakatishwa viuno kwenye nwendo kasi na wanatumwa kuvunja NAZI tu😁😁
OKW BOBAN SUNZU
Scars
Pacome ni hatari ile movement angebahatika kufunga lingekuwa goli bora sanaKama Yanga tuna majini basi jini lenyewe ni Pacome.
Sio mchezo.
No style ya Mo inakwazaHaijalishi Man City imenunuliwa na mwarabu au muingereza ... cha muhimu kwa mashabiki ni timu kufanya vizuri
Umewahi kuona Man city wanasimangwa kama YATIMA wa SIMBA?Haijalishi Man City imenunuliwa na mwarabu au muingereza ... cha muhimu kwa mashabiki ni timu kufanya vizuri