FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

yanga hii ndio nafasi pekee kumfunga ahly ikitoka hii futeni kichwani huo mpango nawaelezeni
 
Mwamedi kainunuwa Simba 5 years ago, wewe unachambia hamira Tu jinga kabisa.
Mo anakera kwa kweli.

Ni swala la Muda tu.

Simba ni kubwa kuliko yeye.

Ngoja game ya kesho iishe salama
 
Back
Top Bottom