FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

MO umeuona usajiri wa uhakika wa Yanga?
Teua mtu mmoja awe anasajiri kama Hersi Saidi.
Kamati yako ya Usajiri inakupiga na unabaki kupata hasara tu.
Kanuru anaiweza hiyo kazi

Simba inapendwa sana duniani na ikicheza kama Yanga utapata faida nzuri tu.

Mpe kazi ya Usajiri Kaburu.
Sikia mawazo yangu dogo MO Dewji.
Utarusha hasara yako.

Hebu uliza Fredi alikujaje Simba.
Kaburu hana kitu kwenye usajili na Mo pia anahusika
Lakred na miqueson amewaleta yeye
Mastermind wa sajili za simba miaka 3 iliopita alikuw marehem hanspope alikuwa anajua simba iansajili nini na mapungufu gani hawa waliobaki pamoja na Mudi mwenyewe wapigaji tu
 
Msione pametulia humu bali Makolo kindaki ndaki yapo mafichoni yanasubiri Yanga apigwe waje kukinukisha humu..
Na kama hawa mashabiki wa timu ya Mwamedi kama Wana akili hata za kuvukia Tu barabara ingawa najuwa hawana, basi Leo wakae kimya, tena kitako Kwa kutulia.

Wakijifanya wao ni Waarabu wakati Yanga tayari imeshafuzu, wasubili mechi yao na Jwaneng ndio watajuwa kama maarage ni mboga au sukuma wiki.
 
Toka nimeone huyu jamaa yenu akijaribu kufunga hapa kwa kupiga hivi nikajua hamna mchezaji hapa.

Screen Shot 2024-02-18 at 1.44.07 PM.png
 
Hizi kwaya za ushangiliaji Yanga wazianzishe ili kuongeza morali za wachezaji. Hii ya watu wanajaa uwanja mzima alafu wanashabikia kiuny0nge na shaghalabaghala haifai, ni matumizi mabovu ya viingilio.
 
Back
Top Bottom