Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Dah!....hata sisi tuna mechi mbeleni mkuu nenda taratibu.Wameinuka Kandamiza kabisa kanyaga kwenye mshono..
Tandika fimbo ya kichwa waongeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!....hata sisi tuna mechi mbeleni mkuu nenda taratibu.Wameinuka Kandamiza kabisa kanyaga kwenye mshono..
Tandika fimbo ya kichwa waongeze
Hanna tuna drooWatawalipizia Waarabu wenzao leo
Afadhali eeeeee......Daah! Afadhali tuliimaliza kazi kwa Mkapa. Nje ya hapo leo ingekuwa ni majonzi tupu.
Labda Droo ya kabati...Hanna tuna droo
Mechi nyepesi sana ya kwetuDah!....hata sisi tuna mechi mbeleni mkuu nenda taratibu.
NiniTunarudisha
ChenchiNini
Ana hatrick leoNiliwatahadharisha ndugu zangu Wananchi tokea haya mashindano yanaanza juu ya El Shahat, nilisema kabisa ndio mchezaji pekee ninayemhofia.
Nafikiri mnaona sasa.
Linarudi,tunashinda mbili leoDaah! Afadhali tuliimaliza kazi kwa Mkapa. Nje ya hapo leo ingekuwa ni majonzi tupu.