FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Niliwatahadharisha ndugu zangu Wananchi tokea haya mashindano yanaanza juu ya El Shahat, nilisema kabisa ndio mchezaji pekee ninayemhofia.
Nafikiri mnaona sasa.
 
Yanga watulie ili wafungwe kwa adabu, wakifunguka kimsisimko wataoga magoli. Jamaa move zao zinamakosa machache sana kulinganisha inaccuracies za Yanga.

Sasa hivi Kila nafasi watakayopata, waaakikishe hawakosi.
 
Back
Top Bottom