FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Na kama hawa mashabiki wa timu ya Mwamedi kama Wana akili hata za kuvukia Tu barabara ingawa najuwa hawana, basi Leo wakae kimya, tena kitako Kwa kutulia.

Wakijifanya wao ni Waarabu wakati Yanga tayari imeshafuzu, wasubili mechi yao na Jwaneng ndio watajuwa kama maarage ni mboga au sukuma wiki.
Ushakalia mwiko mmoja mpaka sasa na shombo zako
 
Hizi kwaya za ushangiliaji Yanga wazianzishe ili kuongeza morali za wachezaji. Hii ya watu wanajaa uwanja mzima alafu wanashabikia kiuny0nge na shaghalabaghala haifai, ni matumizi mabovu ya viingilio.
Hawa jamaa wanangoma kubwa balaa.

Wale Beluzidad walikuwa na ngoma yao ikipigwa Inasikika Benjamin Mkapa yote
 
Back
Top Bottom