GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Naam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau walichotufanya kipindi kile....tulidharau hivi hivi ila.....Mechi nyepesi sana ya kwetu
we endelea kuota kolo jike weNasema hiviii yangu mnapigwa 4-0 hilo halina ubishiii
Yangu? Wewe ni bambo?Nasema hiviii yangu mnapigwa 4-0 hilo halina ubishiii
Ushakalia mwiko mmoja mpaka sasa na shombo zakoNa kama hawa mashabiki wa timu ya Mwamedi kama Wana akili hata za kuvukia Tu barabara ingawa najuwa hawana, basi Leo wakae kimya, tena kitako Kwa kutulia.
Wakijifanya wao ni Waarabu wakati Yanga tayari imeshafuzu, wasubili mechi yao na Jwaneng ndio watajuwa kama maarage ni mboga au sukuma wiki.
Ahsante Mtani.Afadhali eeeeee......
Hongereni kwa kuvuka lengo.
SubiriLabda Droo ya kabati...
🤣🤣Chenchi
Itakuwa vizuri tuongoze kundi.Linarudi,tunashinda mbili leo
Hawa jamaa wanangoma kubwa balaa.Hizi kwaya za ushangiliaji Yanga wazianzishe ili kuongeza morali za wachezaji. Hii ya watu wanajaa uwanja mzima alafu wanashabikia kiuny0nge na shaghalabaghala haifai, ni matumizi mabovu ya viingilio.
TunaombolezaMbona mtaani kumetulia sana?
Chooni anahangaika na mwiko wake nyumaYAO alikuwa wapi?
Nimesema mnapigwa nne elewa we topolowe endelea kuota kolo jike we