FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Hizo takoling za wakina Baka kwa professionals wataishia kula Yellow Yanga wote.
Hawa jamaa wajanja sana. Wakiona jamaa anajiandaa kuja kuslide aokoe wanatoa mpira na kuweka mwili ili iwe kutengeneza Kadi.

Yanga wanatakiwa kuongeza umakini
 
LENGO LA HUU UWANJA KUMWAGIWA MAJI KABLA YA MECHI NDO NALIONA SASA HIVI

Wachezaji n mwendo wa kuteleza tu
 
Back
Top Bottom