Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Ndoivo 💚💚💪!Wacha wee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoivo 💚💚💪!Wacha wee
Belzebul hata ashinde mia haendi popote.Mfano chura apigwe 4 halafu belouizdad ashinde 3 hapo nani anafuzu
Sisi tunakamilisha ratiba, hizo hesabu zako kaa nazoMfano chura apigwe 4 halafu belouizdad ashinde 3 hapo nani anafuzu
Wamepoa kwasababu wameshafuzuDeportivo de Utopolo wanafundishwa mpira leo. Wamepoaaa kama udenda wa marehemu
KoloMfano chura apigwe 4 halafu belouizdad ashinde 3 hapo nani anafuzu
MbumbumbuHawa mashabiki walivyo na mzuka kqma wangekuwa wamejaa uwanja mzima Yanga wangepigwa hata mia
Baada ya kudraw mkafika wapi?Mnyama alidrooo hapo last yr ila majini yanaliwa kichwa hapo sooon
aMna mchecheto sana wa robofainali, kiasi kwamba mechi ya makundi mnaiita robo fainali?
Simba Sc imewahi kuingia mapema kama hivyo, tena ikiwa kileleni kwenye kundi moja na Ahly.
Amka ..watu washa fuzu zamani sana bado kolo fc tu A.k.a Mo simba ndo aja fuzuMfano chura apigwe 4 halafu belouizdad ashinde 3 hapo nani anafuzu
Inaitwa mipango, kwanini watumie nguvu nyingi wakati walisha fuzu?Kwa nini hawa Al ahly huwa wanashinda magoli machache tu wakiwa nyumbani.
Unakataa ukweli .. !!!Mbumbumbu
Yanga anakwenda kuweka historia ya kuongoza kundi na kuwa timu ya kwanza kutoka Tanzania kubeba ubingwa wa CAF champions league.