FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Cha kushangaza kipindi cha pili kilipoanza tu score klianza kuonyesha 1-0, nikajiuliza hii score imekaaje, mara chuma hichooo
 
hii n robo fainali acha kelele wew hujafika ata robo
Mna mchecheto sana wa robofainali, kiasi kwamba mechi ya makundi mnaiita robo fainali?

Simba Sc imewahi kuingia mapema kama hivyo, tena ikiwa kileleni kwenye kundi moja na Ahly.
 
Guede lazima awe mfungaji Bora leo anatupia si chini ya goli 3
 
Mfano chura apigwe 4 halafu belouizdad ashinde 3 hapo nani anafuzu
 
Kwa nini hawa Al ahly huwa wanashinda magoli machache tu wakiwa nyumbani.
 
Back
Top Bottom