FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Why musonda and guede huku unategemea counterattacks? Toa Musonda, weka Someone with speed and agility; Okra!
 
Baada ya Game.

Tusipoingia Robo, atatusoma yule jamaa.

Anaongeaje kutununua kirahisi rahisi hivyo?
Yaani 'Tajiri' akalie kuti kavu....?

Thubutuuuuuuu....
 
MO umeuona usajiri wa uhakika wa Yanga?
Teua mtu mmoja awe anasajiri kama Hersi Saidi.
Kamati yako ya Usajiri inakupiga na unabaki kupata hasara tu.
Kaburu anaiweza hiyo kazi

Simba inapendwa sana duniani na ikicheza kama Yanga utapata faida nzuri tu.

Mpe kazi ya Usajiri Kaburu.
Sikia mawazo yangu dogo MO Dewji.
Utarudisha hasara yako.

Hebu uliza Fredi alikujaje Simba.
 
Back
Top Bottom