FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Hii faulo ya bahati mbaya ngoja tuone Aucho atakula kadi au
 
Yanga wameenda Misri na kibuti sana wakidai kiwango chao kiko juu sana.

Aliye karibu awaambie Yanga kuwa CR Belouzdad ni timu dhaifu sana, hivyo kuipiga goli 4 wasivimbishe vichwa na kupandiaha mabega.

Wakishinda mechi ya leo situmii tena Jamiiforums.
 
Sisi umeme umekatwa tangu saa 11 jioni mpaka muda huu CCM woye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…