FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

Sisi ambao timu yetu ilishauzwa miaka mitano iliyopita bila kujulishwa tunaomba mtupokee uko kwenye timu ya Wananchi nasi tule Raha.
D.k Kigwangwala alitutahadharisha lakini tulikua tukimdhihaki Sasa twajionea wenyewe.
 
Yanga atapigwa 3:0.
Tusichanganye viwango na mihemko.
 
eheeee vyuraaaaa🤣🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20240217_194208_Instagram.jpg
    142.8 KB · Views: 1
Yanga timu ya wananchi, Simba ina mwenyewe na anajilaumu kuimiriki

Inshallah Mungu akawe upande wetu tukampige mwarabu kwao tuongoze kundi na timu yetu izidi kuwa tishio upande wa Afrika mpaka huko mashariki ya kati
 
Tarehe kama ya leo miaka 10 iliyopita hawa jamaa tuliwapiga 1:0, ilikuwa 2014, game ya leo tofauti ni uwanja tu, natumaini Historia Itajirudia.
 
Timu yetu inatakiwa icheze kama haijafuzu robo final
 
Uzuri wa match ya leo haina pressure
Ni kuenjoy tu mpira mzuri,
kuhusu matokeo InshaAllah ikawe kheri💚💛🔥
 
"Al Ahly ni kibonde wetu tutampiga mkono wa nyani.." alisikika mlevi mmoja akibwabwaja baada ya kumaliza chupa ya 7 ya banana wine huku Kibororoni 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…