Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Kula kono la dume hilo wewe KolokhamsaVisingizio vya kijinga. Uongozi wa Uto na Manager Gamondi walisema nini kabla ya mechi? Au wewe ndiye uliyeamua kuifanyisha mazoezi timu na siyo kutafuta ushindi ili muongoze kundi lenu?
Kafuzu au kachungulia?Vipi lile chaka lenu la robo fainali chura kafuzu au hakufuzu?
Nipe tofauti ya kufuzu na kuchunguliaKafuzu au kachungulia?
Simba huwa wanaingia huko kila mwaka.
Makelele yote ya vyura ni kwa sababu wamechungulia tu huko kwa mara ya kwanza 😂😂
Ila wanajua huko ni wasindikizaji tu
Simba kafuzu mara nyingi, Uto wamechungulia kwa mara ya kwanza mwaka huu.Nipe tofauti ya kufuzu na kuchungulia
Kwahiyo Ahly alishinda?Kwahiyo baada ya hapo Al Ahly akatoka nyie mkafuzu Kwenye mechi tuliona wote Al Ahly akiamua kutafuta goli hata hachelewi analipata. Mechi ya Dar mlivyoongoza tu, haikuchukua hata dakika 10 waka level. Huku Misri pia baada ya kupata goli nako hivyo hivyo hamjadumu nalo hata kidogo wakapata goli.
Kwahiyo tunakubaliana Yanga bado ni team ndogo, maana kama huyu aliyefika robo fainali CAFCL mara nyingi bado ni mdogo, vipi Yanga aliyeingia kwa mara ya kwanza kwenye historia yake yote?Kama robo fainali ndiyo mwisho wenu basi hamna ukubwa, ukubwa watapewa wanafika fainali na wanaobeba makombe.
Hakuna chochote ambacho Yanga anacho ambacho simba sc haina, kuanzia makombe mpaka record za kufungana, na pengine SIMBA sc inazo record nyingi ambzo Yanga hana.
Sawa mmeshafuzuEndapo tu akipangiwa Asec Mimosa...
Akipangiwa Mamelody au Atletico hatoboi maana hizi timu zipo Strong sana.
Utabiri Wangu
Mods kwanini mmeunganisha uzi wangu. Inaboa sanaEndapo tu akipangiwa Asec Mimosa...
Akipangiwa Mamelody au Atletico hatoboi maana hizi timu zipo Strong sana.
Utabiri Wangu